Wivu utakuua! Wawe wameanza 2004 au 1905 shida yako nini? kUna mtu amekuita kuja kutembelea Chelsea Fc thread? Acha uzushi; wewe kama kweli mtu wa la liga unaumiza roho kujibizana na watu wa Premier league? Shabikia Man utd jumapili hiyo pia timu yako.
Hata msimu wa 1994 walikuwa wapi?epl au,kasomeni data sio mnashabikia chelsea wengi wenu baada ya Abramovich kununua timu,binafsi ninaamini wengi wa washabiki wa chelsea ni mamluki na wameanza kushabikia mwaka 2004,hata everton wanashika nafasi nzuri kila msimu na hawasajili majina makubwa.