Wachezaji walio wengi wa mbele huwa wanazimudu nafasi zote za mbele isipokuwa strikerKaeleza vizuri namba 10 ni yule mwenye uwezo wa kuchezesha team kuunganisha safu ya kiungo ya Kati na eneo la ushambuliaji, kuwa na jicho la kupiga pass ya mwisho yenye uwezo wa kufungua team pinzani ukiangalia hizi sifa Mount hana, mount ni kama feisali toto kiuchezaji na ukizingatia pale chelsea kashapoteza namba nafasi yake anacheza Jao felix na hata msimu ujao nafasi yake itazidi kuwa ndogo zaidi kwasababu kutakuna na Nkuku, Mudryk, Madueke, Kai havert, chelsea watamsajili jumla felix alafu kutakuwa na sterling pamoja na striker watakaosajili na kwa mfumo wa Potter wa 3-4-3 mbele wanahitajika wachezaji watatu tu je nafasi ya Mount unaona itakuwepo?
Cash Money Forever Southern Highland
Sisi sio Liverkuku, siku hiyo utajua, labda itukute tuna majeruhi. Niji ni oficial diet ya Real Madrid kwa miaka zaidi ya 10Nilivyoona Chelsii wamewekwa na Madrid nikasikitika sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Well said brother. Makocha wana mchango mkubwa kwa wachezaji katika kukuza vipaji vyao. Kama kina Salah na KDB wangebaki chini yaMou pengine wasingekua na potential hii waliyonayo sasa. Angalia wachezaji chini ya Pep wanavyo perform muangalie na Sterling chini ya Potter.Hata Hazard miaka ile ya mwanzoni Chelsea MOU alikuwa mkali dhidi yake kwa sababu alikuwa mzembe sana. Tumeona aliyofanya Hazard hadi anahamia RM. Sio tu Mount, kuna mchezjai kama Galagher sasa anaonekana wa hovyo kwa sababu ni kama Kondoo bila mchungaji
Na huyuhuyu Potter au?🤣🤣🤣🤣Sisi sio Liverkuku, siku hiyo utajua, labda itukute tuna majeruhi. Niji ni oficial diet ya Real Madrid kwa miaka zaidi ya 10
Umesema Mount pale Chelsea keshapoteza namba na nafasi yake kachukua Joao Felix ndio nikakwambiaje Felix hachezi kiungo namba 8 ya MountEbu pitia upya comment wapi nimesema jao felix anacheza no 8?
Mlishatuaminisha kuwa tusingebounce kwa Dortmund, tumewalamba 2-0 chini ya huyu huyu mbeba mizigo, na kwa huyu huyu tutambonda Real MadridNa huyuhuyu Potter au?🤣🤣🤣🤣
Akiyanani
Dunia Ina mambo hii😂😂😂😂😂😂
Everton anakusumbua , Madrid utamuwezea wapi??Mlishatuaminisha kuwa tusingebounce kwa Dortmund, tumewalamba 2-0 chini ya huyu huyu mbeba mizigo, na kwa huyu huyu tutambonda Real Madrid
Ila Mount mkuu anachezaga mara chache sana hiyo na. 8. hiyo 8 ni ya akina Enzo, Kante, Kovacic and recently naona wanampa Galagher. Mount anakuwa mzuri akicheza mbele kabisa. Halafu huwa mimi sipendi kutaja nafasi ya mchezaji kwa namba kwa sababu zinabadilika kulingana na formation na mfumo wa kocha. Kocha ndiye anayegawa majukumu ya uchezaji ambayo ndio inaweka 8 achezeje na hubadilika badilika. Na. 8 ni CM wa kulia kwa baadhi ya formation na formation zingine hazina kabisa. Basic formation ya 4-3-3 mara nyingi ndio inakuwa rahisi kuelezea hizi namba, ila ukiswitch to ukaenda formation nyingine inakuwa ngumu kuelezeaUmesema Mount pale Chelsea keshapoteza namba na nafasi yake kachukua Joao Felix ndio nikakwambiaje Felix hachezi kiungo namba 8 ya Mount
Bado wamarekani hawana uswahili wakisema 5 ni mitano kweli
Kama bonamouth alivyowasumbuaEverton anakusumbua , Madrid utamuwezea wapi??
Timu imechoka hata kocha hana idea na anachofanya 🤣
Ukiwafunga Madrid niite kaka Rashid Mpemba
Nipo pale 👉nimekaa😂😂
Mount mechi nyingi anacheza number 10 sio 8 namba 8 chelsea wanacheza Kovacic na Kante alafu 6 anakaa JorginhoUmesema Mount pale Chelsea keshapoteza namba na nafasi yake kachukua Joao Felix ndio nikakwambiaje Felix hachezi kiungo namba 8 ya Mount
Bora ulivyonisaidia kumwelezea jamaaIla Mount mkuu anachezaga mara chache sana hiyo na. 8. hiyo 8 ni ya akina Enzo, Kante, Kovacic and recently naona wanampa Galagher. Mount anakuwa mzuri akicheza mbele kabisa. Halafu huwa mimi sipendi kutaja nafasi ya mchezaji kwa namba kwa sababu zinabadilika kulingana na formation na mfumo wa kocha. Kocha ndiye anayegawa majukumu ya uchezaji ambayo ndio inaweka 8 achezeje na hubadilika badilika. Na. 8 ni CM wa kulia kwa baadhi ya formation na formation zingine hazina kabisa. Basic formation ya 4-3-3 mara nyingi ndio inakuwa rahisi kuelezea hizi namba, ila ukiswitch to ukaenda formation nyingine inakuwa ngumu kuelezea
mfano wa no. 8 na 10 kwenye 4-3-3 na 4-4-2
Kocha anaweza akaamua na. 8 akawa DM na ikafanania kama hii formation ya 4-3-3 ya dfensive minded kama ya akina MOU. Hii inakuwa na DM wawili ambao ni 6 na 8
Yaani piga hesabu zote ila hii Chelsea mliyonayo sasahivi hamna timu ya kumfunga Madrid .Kama bonamouth alivyowasumbua
Mpira huwa haulinganishwi kihivyo
Mpira inaoperate under complex calculus
Pamoja na hivyo Felix hawezi chukua namba ya Mount kwa sababu Felix naturally ni winger na mara chache anaweza cheza false 9. Ni mara chache amecheza namba 10Mount mechi nyingi anacheza number 10 sio 8 namba 8 chelsea wanacheza Kovacic na Kante alafu 6 anakaa Jorginho
Hii laliga siielewi kabsa ivi moto waliopelekewa Barca na Man U leo wanawatesa Madrid kama ngomaWangapi humu tunaangalia El Classico? Yan Madrid anapelekewa moto balaa game ni Half Time 1-1.
Pamoja na kuelemewa ila bado ni hatari sana wanaposhambulia hasa huu upannde wa Vinicius
Ndio mpira mkuuHii laliga siielewi kabsa ivi moto waliopelekewa Barca na Man U leo wanawatesa Madrid kama ngoma
Mkuu ushindani ni mkubwa kule mbele kuliko unavyofikiri, akibaki Mount msimu ujao itakuwa terible kwani Nkunku akiongezeka sijui itakuwajePamoja na hivyo Felix hawezi chukua namba ya Mount kwa sababu Felix naturally ni winger na mara chache anaweza cheza false 9. Ni mara chache amecheza namba 10
Pole sana Anne, Real Madrid ni Mungu wenu Liver na mnawaogopa kweli kweli kwa sababu anawafunga atakavyo, ila sio kwetuYaani piga hesabu zote ila hii Chelsea mliyonayo sasahivi hamna timu ya kumfunga Madrid .