Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

JORGINHO ni kipande muhimu kilichobakia (Missing piece of a puzzle) kwa Arteta

Siwezi kumfananisha kama Caicedo kwa sababu Caicedo ni powerful box-to-box midfield kwa Brighton. Lakini kwa Jorginho ni Press resistance na Tempo-setter ndani ya timu. Ni aina y wachezaji Arteta alikua anawahitaji Sio tu kuongeza nguvu kikosini bali pia Winning mentality na experience kwenye kikosi. Ukitaja jina la Jorginho msiishie kuishia jina Frelo bali ongezeni UEFA Champions League winner (2021), UEFA League of Nations winner (2019) na Ballon’Dr nominee mwaka 2019.

Jorginho Frelo ni kweli umpa eneo kubwa ku-defend atakufedhehesha (Large area to defend) lakini mazingira ya Arsenal kuzuia kama Unit ukizingatia uingiaji ndani wa Fullbacks kwenye midfield (Inverted full back) kama afanyavyo Zinchenko, Tierney na White means hatakua isolated kwenye #6.

Arsenal na Arteta hawahitaji mpiga Penalty tu, bali mchezaji ambae ni Ball Passer na mzuiaji mzuri timu inaposhambuliwa ukizingatia pass rate ya 87% kwa misimu minne yote akiwepo Chelsea. Tunamhitaji Jorginho wa Napoli zaidi kuliko huyu wa Chelsea na Arsenal ina mazingira hayo ya kumrudisha kwenye ubora.

Jorginho msimu huu ana tackles, interceptions na ball recoveries nyingi kuliko Partey na ukizingatia Chelsea hawako compact sana kama Arsenal. Arsenal ni tofauti kidogo. Muda mwingi wapo na umiliki wa mpira, imagine juu ya hapo imeongeza Build Up play monster. Ni hatari sana.
umejitahidi kumuuza mgombea wenu, ila bado shida kubwa ya Jorginho ni individual mistakes hasa kwa timu zinzopress sana. may be playing style yenu itamfunika asifanye hayo makosa
 
Baada ya kazi nzuri ya juzi na jana, jamaa kaamua kupata mapumziko na nyama choma
Fn3Gj_yWIAEMYy9
 
ktk hawa wapya hakuna mwenye mshahara mkubwa, Weslei Fofana tu ndie alipewa mkubwa. Enzo sujui watampa ngapi ila hautakuwa mkubwa sana kwa kuanza haitazidi 100K
Wesley Fofana weekly Salary £230,000
 
ETI HII NIKWELI?

Hakim Ziyech ameshindwa kujiunga PSG ili acheze na Neymar, Mbappe na Messi baada ya viongozi wa Chelsea kutuma Documents fake kwa PSG na PSG kila walipouliza Chelsea juu ya documents original bado Chelsea waliendelea kutuma documents zile zile ambazo kuna vitu vingi havipo
 
Wamefany kusud tu
 
Sio kusudi, walikuwa bussy na Enzo
 
Mi naamini hawa wachezaji kwa style wanayofos kusajiliwa kuna jambo nyuma ya pazia Kina Boehly walienda wakawapa hawa watoto hela alaf watoto wakaomba kuhama
 
Asije akawa Lukaku Tu ,angalizo ,ingawa hatujawahi pata takataka toka pale benfica tangia tufanye nao biashara
 
Kwa usiriaz walionao TODDY & EGHBALI kwenye kujenga THE BLUES mpya ya ushindani.

Kwenye dirisha kubwa la usajili majira ya kiangazi sidhani kama hawa wachezaji watabaki kikosini.

Pulisic
Ziyech
Auba
Cheek
Gallagher
Koulibaly
Azip

Naona wakipewa mkono wa kwaheri.View attachment 2502320
Galgher atabaki labda miezi sita hii ashindwe kuonyesha uwezo wake, kwa style ya uchezaji wa Galagher anaweza kushirikiana sana na Enzo pale katikati kama akina Kante na Kovacic hawapo. Pia ni kiungo anayeweza kucheza advance position, ni mzuri kwenbye kupress na kukaba. Anachotakiwa kuimarisha kidogo ni umakini wakati wa kuyatekeleza hayo. Pia anatakiwa kuimarisha clinicality kwenye kupasi na kufunga
 
Mi naamini hawa wachezaji kwa style wanayofos kusajiliwa kuna jambo nyuma ya pazia Kina Boehly walienda wakawapa hawa watoto hela alaf watoto wakaomba kuhama
Project ndio imekaa vizuri na kimkakati. Ina dira, uendelevu na dhamira ya kushinda makombe
Wachezaji wote watajenga majina yao, Real Madrid na Barcelona sasa iko darajani. Hicho ndicho walichooneshwa na wakaiamini
 
Angalia tulivyonyanyasika kuanzia mwezi wa tatu mwaka jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom