Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwahiyo umegoma kuweka msimamo? Kwani ni siri?
Tunazungumzia msimu huu kuwa ninyi ni underdogs, ambayo msimu ya nyuma ndio ina depict hiyo underdog. Chelsea ikiperform vibaya for more than 3 years consecutively ndi ina make sense kuwaita underdog kwenye mwaka ambayo watafanya vizuri. You are not underdog if your not performing well after series of bad performances in the league. Likewise you are not underdog if you have been doing well in the league for a series of seasons consecutively. Saa nyingi una urge things as a child. Arsenal miaka zaidi ya 6 doing bad na mwaka huu mkaibuka underdog kwa sababu mnafanya vizuri, That is underdog definition derived.
 
Leo ni tarehe 27 bado siku nne lifungwe. Chelsea RB na Viungo vipi huko
Fabricio anasema Chelsea wanaongea na viungo wengi behind the scenes
Tusije tukaibuka tu na koroma
Chelsea wangekubali kubadili wachezaji na timu zingine ingekua poa sana mf. Yule Gallagher unamtoa kwa mkopo tu wa 1yr + someone
 
Leo ni tarehe 27 bado siku nne lifungwe. Chelsea RB na Viungo vipi huko
Fabricio anasema Chelsea wanaongea na viungo wengi behind the scenes
Tusije tukaibuka tu na koroma
Hata mimi nahofia hicho kitu maana tumeshaanza kuhusishwa na kiungo onana wa everton serious nawametoa na bid kabisa nimeshukuru bid imekataliwa
 
Hata mimi nahofia hicho kitu maana tumeshaanza kuhusishwa na kiungo onana wa everton serious nawametoa na bid kabisa nimeshukuru bid imekataliwa
Arsenal wanaandaa mil50 kwa Onana
Halafu anasifiwa kwa kuwa solid, tall na strong kwenye kutackle
Kwa umri wa miaka 21 anaweza kuimprove
Labda Chelsea na Arsenal wameona hiyo advantage
My worry asije kuwa kama Bakayoko

Angekuwa na hizo qualities why Everton wamestrugle sana msimu huu?
 
1674797261431.png
 
Tukikosa viungo msimu huu

Kante, Zakaria, Kovacic, Santos, Galagher na Chunkwuemeka watatosha kumalizia msimu huu
 
Arsenal wanaandaa mil50 kwa Onana
Halafu anasifiwa kwa kuwa solid, tall na strong kwenye kutackle
Kwa umri wa miaka 21 anaweza kuimprove
Labda Chelsea na Arsenal wameona hiyo advantage
My worry asije kuwa kama Bakayoko

Angekuwa na hizo qualities why Everton wamestrugle sana msimu huu?
Everton hamna kocha mule.
 
Nakubaliana na Ben Jacobs
Eneo la kiungo sio la kufanya rush decision. Kama January hatutapa kiungo anayefaa, tutawatumia tulionao halafu kiangazi tuanzia pale tulipoishia. Wachezaji wazuri wataachiwa Kipindi cha kiangazi ila pia ushindani unakuwa mkubwa kipindi hicho so bei inaweza ikawa juu zaidi ya January
 
Mudryk:
Mazoezi ya kushoot baada ya muda wa mazoezi
Naona Ujio wa Mudryk utawafanya wale wacheza zembe kuamka na kuweka extra effort kwenye mazoezi na uwanjani
Let wait and see!

Similar Discussions

Back
Top Bottom