Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

OK

Tuanze na maana ya Underdog.
Underdog = Asiyedhaniwa kushinda

Meaning: a team predicted to have little chance of winning the title.
Kiswahili: Timu shindani inayobashiriwa kuwa na nafasi ndogo ya kushinda kombe
Katika miaka 6 iliyopita Arsenal ilikuwa ikimaliza nje ya top 4 na miaka mingine hata ilishindwa kushiriki kwenye mashindano ya Ulaya, yaani UEFA, EUROPA na Conference League.

Sasa kwa kawaida timu ikishakuwa kwenye hiyo trend au mlolongo wa kushindwa kwa namana hiyo kwa zaidi ya miaka mitatu siku ikija kuibuka kufanya vizuri ndipo tunatumia neno Underdog

Arsenal hakuna aliyetabiri kwamba hadi sasa ingekuwa juu hapo kwenye uongozi wa ligi. Kwa sababu hiyo sasa ndipo neno Underdog inachukua nafasi yake. Mkichukua kombe, na miaka inayofuata mkaendelea kuwa contenders wazuri hilo neno linafutika lenyewe. It is natrural and automatic

Mfano hadi sasa, Man city pamoja na kufanya vizuri kwenye ligi, ikienda mashindano ya UEFA wanaitwa underdog, kwa sababu wana historia ya kufanya vibaya kwenye hayo mashindano.

Understood

Na muache inferiority complex, itawaua au kuwapanua miyoyo

View attachment 2493842
Weka msimamo hapa tuone kama chelsea sio ANDADOGI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230125-213832~2.jpg
 
Huyu Gordon tulimtaka kiangazi tukawekewa hadi paundi mil 60 tena kwa maringo sasa New castle wanaweza kumbeba kwa mil 30
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom