Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea inamfukuzia huyu RB wa Lyon

Jina: Malo Gusto
Timu: Lyona
Uraia: Mfaransa
Nafasi: RB
Umri: 19yo
Uwezo wake: Kukaa na mpira, pace na physicality
Udhaifu wake: Kushoot
Bei yake ya sokoni: £35million

licensed-image
 
Chelsea inamfukuzia huyu RB wa Lyon

Jina: Malo Gusto
Timu: Lyona
Uraia: Mfaransa
Nafasi: RB
Uwezo wake: Kukaa na mpira, pace na physicality
Udhaifu wake: Kushoot

Bei yake ya sokoni: Paundi mil 35


licensed-image
Tushazoea nyie ni wapigwaji
 
Hapa bado Mudieke naye hajacheza kulia
Mudryk kushoto, Mudiek kulia. Watatukoma hawa vizrusi wanaosema tumepigwa

 
Hapa bado Mudieke naye hajacheza kulia
Mudryk kushoto, Mudiek kulia. Watatukoma hawa vizrusi wanaosema tumepigwa


 
Leo Chelsea wa.eimprove kwenye kupress, bado tu ball controll na decision maki
Hall bado ana kigugumizi cha maamuzi
Chunkwuemeka naye anayo. Havertz kajitahidi ila bado slender hachezi kama EPL, Galagher anatakiwa aongeze tactical and technical balling.
Kule ntuma Silva na Badiashile wametuliza Meli kabisa. Makosa bado kwa sababu haijabalnce kwa sababu ya uwepo wa Cucurella na Chalobah
Kiungo hatuna kabisa japo Jorginho leo kajitahidi. Natamani Kante angekuwepo na kiungo mbunifu kwenye attack
Mount hafai hata kuanza kwa sasa,

Badiashile yulo calm hana papara utasema yupo mda mrefu
 
Kocha angemrisk akaanza tungeshinda
Tofauti ya Mudryk na hao akina Havertz

Mudryk hata kwenye presure kubwa bado anaweza kucheza mpira wakati akina HAvertz and co hadi iwe open play
Ukiangali ule mpira aliouchukua mguuni mwa Galagher kaenda nao hadi golini kawapita dfenda kama watatu hivi
Pia ule aliompasia Chinkwuemeka mara mbili hadi kijana kidogo atapike nyongo kwa kasi kubwa ya Mudryk
Mudryk ana almost 2 month hajacheza so asingeweza kumrisk ili asipate majeruhi
 
Performance ya Jorginho leo vs Liverpool
  1. Touches - 79
  2. Passes - 56
  3. Key Passes - 1
  4. Interceptions - 4
  5. Ground Duels Won - 8/10
  6. Tackles - 5
  7. Ball Recoveries - 9
  8. Blocks - 1
  9. Fouls Won - 2
Kiujumla leo kacheza vizuri ila isitudanganye, huyu auzwe tu kwa sababu hii ya leo ni danganya toto, mechi inayofuata back to deffault

licensed-image
 
Sasa nimeamini Chelsea tuna average player wengi sana.. top quality player ni wachache sana.

Na hii ndo inafanya wachezaji walosajiliwa January waonekane wazuri sana (badiashille, mudryk, J.Felix), hao class yao ndo imeonyesha tuna watu wa aina gani kwenye kikosi chetu cha sasa..

Ni kweli inabidi dirisha kubwa waondoke wengi sana..
 
Hapana maisha yanaendelea ,ila nilivyomuona leo anahitaji kucheza na wenzake wenye kasi

Yupo na speed sana, mzuri kwenye tight spaces

Ana pass nzuri,

Yule chukwuemeka angetapika maana alishindwa kuemdana na kasi
Nahisi tumempata mrithi wa hazard sasa.

Chukwumeka pale alileta marembo mengi sana, maamuzi ya mwisho wachezaj wetu wengi hawana.

Ndio maana unaona kabisa wachezaj wote tuliosajil hii january wanaonesha quality ambayo tulikuwa hatuna

Datro Fofana anafaa kusimama pale mbel, pace na dribling anazo

Natumai Potter amwanzishe game zinazofata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom