Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 532
- 165
Sioni kama kuna uwezekano wa kupata top striker mwezi huu!! Nyie mnalionaje hili wadau?
Nazikumbuka Hizi game vizuri sn!
Tena game ya pale Darajani tulifungwa Hilo goli na Iniesta mpira dakika zikiwa zimekwisha kabisa na Refa akawa anaacha tu mpira uendelee!
Nakumbuka Mzee Guus alilalamika sn kwa refa kufanya hivyo!
Siku zote ukitaka kuifunga Chelsea lazima uifanyie Fitina mbaya ndo uishinde!
Sioni kama kuna uwezekano wa kupata top striker mwezi huu!! Nyie mnalionaje hili wadau?
Sioni kama kuna uwezekano wa kupata top striker mwezi huu!! Nyie mnalionaje hili wadau?
Torress anatosha bhana...Falcao mtampata SummerMwanangu hiyo kweli! Kakuna dalili!
Mbona nyie kule mnatuletea shombo sana...tena mnatuita hadi majina...manake hata kama tupo chemba lazima tuje jukwaani ..mnakeraje!!Ndio ujue mtu anapenda timu yake kweli kweli!
Hilo goli la Iniesta lilinifanya niumwe week nzima!
Torress anatosha bhana...Falcao mtampata Summer
Mbona nyie kule mnatuletea shombo sana...tena mnatuita hadi majina...manake hata kama tupo chemba lazima tuje jukwaani ..mnakeraje!!
We Ntuzu hembu waambie wenzako watulize mzuka...manake hawajui ushabiki, wanaprovoke sana, kuwachalenji kidogo tu wanajaa kaa fuu la mkaa...Dah washabiki mav.i hawa, hili Jukwaa sio kabisa.
mtu kula simba ni story ya kawaida ila simba kula mtu ni story kubwa. Wakaushie mwanangu hawajui london alwayz is red.
Mashetan wekundu watamfukuzisha mropokaj morinho pale darajan
Karibu jukwaa la Mabingwa ndugu Yangu!
Maana Najua wewe ni Msukuma mwenzangu! Tangu lini Msukuma akapenda rangi nyekundu? Wasukuma hupenda rangi za Blue. Kaulize wazee wakusaidie!
hahah n2zu sisi wasukuma 2napenda sana rangi nyeupe kupita maelezo. Na nyeupe bila swahiba wake nyekundu hajisikii raha.
Wewe utakua sio Msukuma! Utakua Msukuma Luseni yani Msukuma Wa kuchovya! Tangu lini Wasukuma wakapenda rangi nyeupe? Kwani wamekua wauguzi? Utachunga ng'ombe na nguo nyeupe si itachafuka siku moja! Au Utachunga ng'ombe na nguo nyekundu si utapigwa na radi? Au umesahau Imani zetu?
Sisi rangi zetu ni Blue Na kaniki zile nyeusi!
Wewe njoo huku kwa Mabingwa uinue ndoo mbili Mwaka huu ya UCL na EPL.
In Chelsea We trust.

Kinehe? Ulimhola....!!!?