Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,462
Nashukuru mpaka saizi Jose ameonesha hana mpango Wa kumuuza David Luiz.
Keep it up Luiz!
fowad zako zote zimezidiwa na chamakh
Nashukuru mpaka saizi Jose ameonesha hana mpango Wa kumuuza David Luiz.
Keep it up Luiz!
fowad zako zote zimezidiwa na chamakh
Nahene nkwela! Okobeja sn!
Alemwala oilombolyane? Ngishage sn!
Ng'welage wo bheja sn!
Nina ng'humbu aha mechi ne ma city o mata apangwe...agubheja noi...i ya ntondo D.Luiz atulwe gu nnuma..nadamanile nani aguduja ugu nkabha Januzaj nkind o hase
Leo nimeangalia game ya Aston villa na kops,dah bertrand kapiga mpira sana leo
Kaizoea timu utadhani amekaa nayo mwaka mzima
Kumbe kuwatoa kwa mkopo ni jambo zuri
Naam! Naam! Naam!
Ile siku iliyokua ikisubiliwa kwa hamu sn ya kumning'iniza Man Utd na kua Shetani Mweupe ni Leo!
Leo the Blues watakua wenyeji Wa Yule Kocha zeruzeri David Moyes huku record zikiwazinaonesha Zeruzeru huyo hajawahi kumfunga Jose au Happy One ata game moja!
Wapenzi Wa Mpira kaeni mkao Wa burudani muone Man Utd ikizidi kutelemshwa chini
Mpira hauchezwi kwenye thread...
Subiri vitendo uwanjani!
Nasikia watu wameshagundua kuwa Yahaha anaishi darajani na leo watu wamepania kubomoa daraja ili kumpata ndugu yetu Yahaya.
Mtajuta kumjua Mou
Haya haya wazee wa daraja la manzese wakiongozwa na taikuni la kisukuma Ntuzu.. Naona leo mtalisifu panga lenu kwa kukata mpapai.