Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kitu hicho cha kutingisha nyavu[emoji116]
Screenshot_2022-12-28-19-19-53-42_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2022-12-28-19-20-07-47_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
 
Wachezaji walioko Injuries na Return Dates kwa leo 28/12/2022

Total injuries = 6
  1. Reece James, majeruhi - no return date
  2. Wesley Fofana, majeruhi- 08/01/2023
  3. Ben Chilwell majeruhi- 05/01/2023
  4. N'Golo Kante, majeruhi anarudi 04/03/2023
  5. Ruben Loftus-Cheek, majeruhi- 05/01/2023
  6. Armando Broja - majeruhi - no return date
Wengine ambao watachelewa kuwepo kwa sababu ya off ya wiki moja baada ya World Cup ni
  1. Hakim Ziyech - Off for one week - 01/01/2023
  2. Mateo Kovacic - Off for one week - 01/01/2023
  • Carney Chukwuemeka majeruhi- Kaondolewa kwenye injury list
 
Mateo na ziyech wamerudi leo
 
Hili timu lenu bora libadilishwe jina tu from CFC to Cheusiiii Orthopaedic Institute (COI)
Story za humu kila siku ni majeruhi tu.
Hizi kenge zitakua na upungufu wa madini ya Calcium sio bure, inabidi wapishi wenu waanze kuwachanganyia chokaa kwenye msosi.
 
Omba hiyo kitu isiikute team yako utalia na kusaga meno
 
Wachezaji walioko Injuries na Return Dates kwa leo 28/12/2022

Total injuries = 6
  1. Reece James, majeruhi - no return date
  2. Wesley Fofana, majeruhi- 08/01/2023
  3. Ben Chilwell majeruhi- 05/01/2023
  4. N'Golo Kante, majeruhi anarudi 04/03/2023
  5. Ruben Loftus-Cheek, majeruhi- 05/01/2023
  6. Armando Broja - majeruhi - no return date
Wengine ambao watachelewa kuwepo kwa sababu ya off ya wiki moja baada ya World Cup ni
  1. Hakim Ziyech - Off for one week - 01/01/2023
  2. Mateo Kovacic - Off for one week - 01/01/2023
  • Carney Chukwuemeka majeruhi- Kaondolewa kwenye injury list

Ziyech na Kovacic wamerejea leo mazoezin, source-official website
 
EPL SCORERS

1. Erling haaland -20
2. Chelsea -19
3. Bournemouth -18
4. Aston villa -17
5. Crystal palace -15
6. Southampton -14
7. West ham -13
8. Everton -12
9. Nottingham forest -11
10. Wolves -10
 
Tetesi
Deal la Enzo Fernandes lina ugumu kidogo.
Changamoto ni atakae activate release clause yake anapaswa kulipa kiasi chote kwa wakat mmoja na si kwa mafungu(awamu).

Chelsea wanataka walipe zaidi ya release clause yake ili iwe rahisi kwenye malipo, wanataka kulipa katika awamu mbalimbali.

Benfica kupitia raisi wao wanasema kwa team yoyote inayomtaka Enzo inabidi iactivate release clause yake.
 
Release clause yake ni bei gani?
 
Katika mechi za UEFA timu ya wanawake wa Chelsea imezifunga timu zote za group A kama ifuatavyo (by Agg)

Chelsea vs PSG 4-0
Chelsea vs Real Madrid 3-1
Chelsea vs Vilaznia 12-0
Jumla ya points 16

1672382929902.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom