Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1672218856881.png
 
Ngoja tusubir report kutoka kwa hawa Tier 1.

If ni kweli tukimpata huyu then twende pale Monchegladbach tumchukue Koudao Kone.

Tutakuwa tushatatua tatizo la mid, kilichobak ni kumpata Arsen Zakharyan,

Tutakuwa vizuri mpk hapo
Na pia sahv nasikia kuna tetesi za Newcastle kumhitaji jorginho this Jan transfer...hii pia inaweza kuchagiza hizo report
 

Chelsea offer ‘in excess of’ €127m to Benfica for Enzo Fernández — reports​

Enzo Fernández went to the World Cup in Qatar a relative unknown. He left with not only the World Cup trophy, but with the Young Player Award as well. And now, he’s got all of Europe’s moneyed clubs lining up at his door, ready to whisk him away from Benfica for untold millions.
1451076486.0.jpg
 
Namshauri Todd Boehly achange karata yake vizuri na iwe hivi
Wachezaji wazuri kabisa kutoka haya mataifa kwa machanganuo huu kwa squad ya wachezaji 25
  1. England homegrown 8
  2. Brazil 4
  3. Argentina 2
  4. West and north Africa 3
  5. Spain 2
  6. Portugal 2
  7. German 2
  8. Mataifa mengine 2
Total 25
 
Namuona Zakaria kama kijana mtiifu kwa kocha
Namuona akifanikiwa darajani kama ataaminiwa na kocha akapewa nafasi za mara kwa mara. Ile jana pamoja na kupoteza baadhi ya mipira pale katikati lakini nimependa jinsi manavyocover kwa haraka kwenye seconbd balls. Anajua kukaba na p-ia anajua kujiposition kwenye kushambulia. Kocha ampe nafasi zaidi ya Cheek na Jorginho. Kocha awajaribu yeye na Kova kwenye mfumo wa 4-2-3-1 ambao mimi nauona kwa sasa una matunda Chelsea kuliko ule wa 343
7oMAEDS3KHl9-viopepy-k.jpg
 
Hawa wachezaji ni wazuri sana
  1. Enzo Fernández
  2. Gvardiol

Tujifunze kwa historia, wanaweza wakanunuliwa kwa paundi mil 100, tuka splush mil 200 pa wakaja walatulia kama maji ya mtungi, yaani wakaflop. Tutaficha nyuzo zetu wapi
 
Jana Sterling alicheza vizuri sana sio kwa sababu katoa assists kwenye goli la Havertz bali pia nilimuona mbele na nyuma akikaba na ule umlenda jana sikuuona kabisa, utadhani sio Sterling tumjuaye

1672221980119.png
 
Hawa wachezaji ni wazuri sana
  1. Enzo Fernández
  2. Gvardiol

Tujifunze kwa historia, wanaweza wakanunuliwa kwa paundi mil 100, tuka splush mil 200 pa wakaja walatulia kama maji ya mtungi, yaani wakaflop. Tutaficha nyuzo zetu wapi
System ikiwa sawa na inawafavour hawawez flop tho usajil nikama kamali vile.

Ila system kama sio sawa, tutaendelea kuwa kwenye mkumbo ule ule
 
Jana Sterling alicheza vizuri sana sio kwa sababu katoa assists kwenye goli la Havertz bali pia nilimuona mbele na nyuma akikaba na ule umlenda jana sikuuona kabisa, utadhani sio Sterling tumjuaye

View attachment 2460934
Alikuwa anaachia mpira haraka hiki kitu nimekipenda Ndio maana kukawa na flow nzuri ya kushambulia Hili ndio Mara nyingi anakuaga afanyi ndio maana sometimes anapokonywa mipira Sana. Sijawahi kuwa na tatizo na sterling kwenye suala la workrate yake anajitoa hata kama hayupo kwenye form nzuri
 
2022 umekuwa mwaka mgumu sana hadi sasa
Nataka tu kuwashukuru kwa ushirikiano wenu, hakuna ambaye hajaonekana
Mwaka umeniadhiri kiakili kwakweli na hivi sasa najaribu tu kupambana na hali inayonikabili
Natumaini mwisho wa mwaka kwenu utajazwa na amani, shangwe na furaha. Nawapenda wote


1672239905649.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom