lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,704
- 25,947
Yaani alipotoka tu basi tenaTuombe isiwe hivyo. Unajua movement zote za magoli zimeanzia upande wake
Yaani alipotoka tu basi tenaTuombe isiwe hivyo. Unajua movement zote za magoli zimeanzia upande wake
Before hawajamtimua Scott Parker,Tumefunga 2-0 ila bado timu yetu haichezi vizuri. Tumekosa na fasi nyingi pia hatuna viungo wanao zuia na kushikilia mpira, hi timu ilifungwa na Liverpool ma goli 9 .
Jamaa wakaanza kutawala mchezo. Ila pia midfield yetu naona bado inahitaji kurekebishwa sanaYaani alipotoka tu basi tena
Sawa hata kama wamebadilika ila the blues hatujacheza vuzuri, timu haina connection nyuma, kati kati na mbele tunapoteza mipira hovyo tunafanya blind pass nyingi. Kocha aifanyie kazi kabla ya kukutana na city tarehe 5.Before hawajamtimua Scott Parker,
Baada ya kumfukuza Bournomouth wamebadilika kama unafatilia ligi
Zakaria kacheza vizuri hasa kwenye kucover mistakes za Jorginho na mabeki ila alikuwa akipoteza mipira1st half tumecheza vizuri, kuanzia dakika ya 1 mpk tunaenda half time tulikuwa tuko poa, tunamove ball kwa haraka, na tukicreate nafasi.
2nd half, dakika 10 za mwanzo tulicheza vizuri ila baada ya James kuumia na kutolewa hapo ndio ni kama siku yetu ikawa imeishia hapo.
Tunapokuwa na james na anapokuwa hayupo ni kama usiku na mchana.
Zacharia amecheza vizuri na kuna kitu amekionesha
Kuna mda Kepa wakat anarudishiwa mpira nikawa nahisi hapa angekuwa Mendy ashachoma.
Kaka hyo inaitwa namna namna Potter hana mtu kma jemsi ndio maaana nanachezeshwa tu mkuuu yaaan kuna nyakati hata ww kwenye maisha kuna kitu kina kufika huna jinsi tu lazima ukifanye hata kama kita kuumiza kaka ndio hali inayomkuta Potter na Chelsea fans kwa ujumlaJames inabidi atulie asiwe na shauku ya kurudi uwanjan haraka, na hata akipona Potter aangalie namna anayoweza kuwa anampa dakika 20-30na si kutoka kwenye majeruh na kuingia moja kwa moja kwenye XI
Ngoja tusubir report kutoka kwa hawa Tier 1.[emoji599]BREAKING: Chelsea have entered the race to sign Enzo Fernandez.
They have sent representatives to Lisbon in an effort to tie up a deal according to reports.
- Dave OCKOP
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Me simlaum Potter, nahisi James mwenyewe alikuwa na shauku sana kurudi uwanjani, bila kuzingatia Injury aliyopata, ndio maana alikuwa yuko tayar hata kwenda World Cup.Kaka hyo inaitwa namna namna Potter hana mtu kma jemsi ndio maaana nanachezeshwa tu mkuuu yaaan kuna nyakati hata ww kwenye maisha kuna kitu kina kufika huna jinsi tu lazima ukifanye hata kama kita kuumiza kaka ndio hali inayomkuta Potter na Chelsea fans kwa ujumla
Hakika katika watu uliowataja hapo tukiwapa wote hao kwakweli Potter atakuwa hana ujanja zaidi ya kufanya vzri tu mkuuuNgoja tusubir report kutoka kwa hawa Tier 1.
If ni kweli tukimpata huyu then twende pale Monchegladbach tumchukue Koudao Kone.
Tutakuwa tushatatua tatizo la mid, kilichobak ni kumpata Arsen Zakharyan,
Tutakuwa vizuri mpk hapo
Anahitajika ashauriwe atulize wenga, acheze kwa akili zaidi na nguvu kidogo. Wachezaji wa timu pinzani wameshamshtukia kuwa yeye ndie nongwa pale Chelsea. Jana kila mchezaji akipata mpira anamtafuta James hasa Silva na wengine. Mashambulizi mengi yalikuwa yanapitia kwa James kwa sababu yeye ni mzuri wa kwenda mbele.Me simlaum Potter, nahisi James mwenyewe alikuwa na shauku sana kurudi uwanjani, bila kuzingatia Injury aliyopata, ndio maana alikuwa yuko tayar hata kwenda World Cup.
Njia pekee ni kutafuta cover yake Malo Gusto wa lyon au Pedro Porro wa Sporting Lisbon wanafaa kabisa