Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,024
Ngoja inyeshe tuone panapovujaDk 20 za mwanzo na approach ya Chelsea kwenye hii game itaonyesha wazi kama tunashinda, tunadroo au tunafungwa
Ngoja inyeshe tuone panapovujaDk 20 za mwanzo na approach ya Chelsea kwenye hii game itaonyesha wazi kama tunashinda, tunadroo au tunafungwa
Chelsea leo tuna kibarua kizito sana, na sina hakika Wachezaji waliotoka kuwa Majeruhi watakuwa vizuri leo kimchezo au la!H2H mechi 5 za mwisho
Chelsea
Won 2
Drawn 1
Lost 2
Majeruhi ChifuKwani yule Fofana wa Leicester yuko wapi? Si alisajiliwa dirisha kubwa kwenye zile £300M?
Approach nzuri, tutashindaDk 20 za mwanzo na approach ya Chelsea kwenye hii game itaonyesha wazi kama tunashinda, tunadroo au tunafungwa
Utakuta week 4 mpka 8Daah James kaumia tena
Tuombe isiwe hivyo. Unajua movement zote za magoli zimeanzia upande wakeUtakuta week 4 mpka 8
Kweli kabisa na sijui kw nn huwa majeruhi huwa yanamuaandama sanaTuombe isiwe hivyo. Unajua movement zote za magoli zimeanzia upande wake
Reece anacheza kwq nguvu, na ndio maana anaumia sanaKweli kabisa na sijui kw nn huwa majeruhi huwa yanamuaandama sana