Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
Essien amepata nafasi ya kucheza kwa sababu dogo Marco Van Ginkel (#16) ameumia, na hatakuwepo msimu mzima huenda. Lakini hata hapo kwenye ukabaji wake wengi. Mechi ya leo David Luiz hatakuwepo, lakini kijana wa kazi Ramires "wonder boy" atakuwepo pale kati huenda akaanza na Mikel kama atakuwa kapona, maana Franck Lampard "super frank" aliumia mechi na Liverpool.
Na Bertrand Traore atacheza nafasi ya nani? Guarin je?