Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Endelea kupiga ramli kenge wewe,tutafukua makaburi yenu muache ujinga
Huku kuchanganyikiwa sasa, makenge yanatokea wapi tena ndugu?
JamiiForums-1503402815.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitegemea Senegal Washinde Mendy Akiwa Goli Kipa Ukiskia Masai Kala Mtego Ndoo Hii View attachment 2423475
Hapo nakuunga mkono, magoli yote mawili jana ni uzembe wa hali ya juu wa Mendy, hata Manula hapo angecheza magoli yasingeingia. Goli la kwanza anadaka kama aanadaka chungwa alilotupiwa na mpenzi wake. Goli la p[ili anapangua mpira kwa kurudisha kwa wachezaji. Na kwa umri huo wake simuoni Mendy akiimarika zaidi ya hapo. Mkataba wake ukiisha asepe tu Potter kwa display ya jana sioni akimtumia tena
 
Kwa kocha au timu inayohitaji ku possess Mpira Mendy hafai,

Mechi Vs Arsenal Kuna boko Kama mbili hivi alitaka atoe ,

Thus why kepa atamkalisha Sana Benchi
 
Chelsea are monitoring a number of possible new goalkeeper signings, with Everton and England star Jordan Pickford one name being considered
-Fabrizio Romano
 
PSG ndio timu pekee waliofanya ofa kwa Endrick,
Asema baba wa Endrick
 
Mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen akiwa mdogo, shabiki ndaki ndaki wa Chelsea
1669100782435.png
 
Wewe kukuelewesha Ni kupoteza muda
Ukitaka kumuelewesha kenge yoyote humu ndani unapaswa umzibue kwanza makofi mpaka masikio yatoke damu.

"Kusikia kwa Kenge ni mpaka atoke damu masikioni"
Wahenga waliotunga haka kamsemo sio wapumbavu wanazijua vizuri hivi kenge za darajani.
 
Hii jezy ndio iliyowaleta mashabiki wengi Chelsea, wakati huo kushinda ilikuwa jadi yetu. sasa sijui tumekumbwa na nini

1669100927161.png
 
Mechi ya jana Senegal vs Netherland MoTM alikua ni Mende goli kipa wetu nguli wa Epl.
Screenshot_20221122_100714.jpg
 
Kama nilivyosema huko nyuma
Wachezaji wetu wengi wa mbele wanafanya vizuri wasipovaa jezy ya Chelsea

Sterling for England
Havertz for German
Batshuayi for Belgium
Timo Werner for German
Hakim Ziyech for Morocco

Na bado wengine

Chelsea yetu kuna mchawi pale kwenye jiko, hawapiki vizuri, tukubali hilo
Kopcha naye kachangia. Mfano Sterling tulikuwa tunaenda naye vizuri na TT kaja Poteter kajifanya fundi zaidi anampachika Sterling nafasi za hovyo hovyo mara Wingback mara LW mara RW
KOcha pia kafanya hivyo kwa baadhi ya wachezaji wengi

Mfano pia Koulibaly anacheza vizuri kwenye backline ya 4 ila kocha yeye analazimisha backline ya 3. Cheek pamoja na kuwa sio mzuri sana ila akicheza kwenye kiungo mshabuliaji anakuwa mzuri sana kuliko mara Wing back mara DM
 
Unajitia kidole halafu unanusa

Tuliwaambia humu , ushindi wenu utakuwa 1-0,1-1,2-1,0-0, au kuchezea vipigo

Now hata Newcastle hamumuwezi,

Ila kutwa kupiga ramli Kuhusu Arsenal

Tutafukua makaburi yenu humu ya unafiki na ushirikina

Mara oho mtabeba ubingwa ,Sasa hivi mkikaa vibaya mnapekekwa nafasi za 12
Hivi nyinyi mashabiki wa AsaniWali hamuwezi kuingia kwenye majukwaa ya wanaume mkachangia mada bila ya matusi?
Hivi hamjui kua humu wapo baba na babu zenu?
Mkitaka kutukana nendeni kwenye lile jukwaa lenu la matusi, jukwaa la watoto waliokosa malezi ya pande mbili.
Yoyote atakaeleta matusi humu namlima Ban ya wiki 2.
 
Uwepo wa Mendy golini na Kukosekana kwa Mane ndio iliyowagharimu jana Senegal
Walicheza vizuri nyuma katikati na mbele walikosa umakini wa kumalizia
Nyuma makosa mawili ya Mendy ikawagharimu kimoja
 
Ukitaka kumuelewesha kenge yoyote humu ndani unapaswa umzibue kwanza makofi mpaka masikio yatoke damu.

"Kusikia kwa Kenge ni mpaka atoke damu masikioni"
Wahenga waliotunga haka kamsemo sio wapumbavu wanazijua vizuri hivi kenge za darajani.
Na ukitaka kuelimisha mainzi wanaovamia jukwaa ni kupiga rungu kwanza
 
Uwepo wa Mendy golini na Kukosekana kwa Mane ndio iliyowagharimu jana Senegal
Walicheza vizuri nyuma katikati na mbele walikosa umakini wa kumalizia
Nyuma makosa mawili ya Mendy ikawagharimu kimoja
Mendy amesemwa sana
Je goalkeeper wa Argentina yeye mbona kachomesha goli la kwanza hasemwi?
 
Hapo nakuunga mkono, magoli yote mawili jana ni uzembe wa hali ya juu wa Mendy, hata Manula hapo angecheza magoli yasingeingia. Goli la kwanza anadaka kama aanadaka chungwa alilotupiwa na mpenzi wake. Goli la p[ili anapangua mpira kwa kurudisha kwa wachezaji. Na kwa umri huo wake simuoni Mendy akiimarika zaidi ya hapo. Mkataba wake ukiisha asepe tu Potter kwa display ya jana sioni akimtumia tena
Depal
Au Mendy Jana alikuwa anadaka machungwa??
Ukute alikuwa anacheza mdako
 
Uwepo wa Mendy golini na Kukosekana kwa Mane ndio iliyowagharimu jana Senegal
Walicheza vizuri nyuma katikati na mbele walikosa umakini wa kumalizia
Nyuma makosa mawili ya Mendy ikawagharimu kimoja
Kabisa Mkuu.
Angalau Mane angekuwepo angeweza japo kusawazisha ili wadraw.

Jamaa Mendy amewaponza Senegal.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom