Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Sasa unafananisha na hii timu ambayo magoli walikuwa wanafunga mabeki?A honest opinion.
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini msimu huu Arsenal atachukua ubingwa though form yenu ya sasa ni nzuri ila swala la ubingwa bado hamjawa qualifiedView attachment 2422885
Angalia huu msimamo katika wakati kama huu hiyo ilikua msimu uliopita kilichotokea unakijua omba usipate majeruhi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magoli Ni mgawanyo kijanaEeeh Cheka vzuri ...Kwan ukiacha Sanchez kuna player gani WA sahv hao kina saka n martinelli wamefikisha goli 18 pale EPL ?[emoji23]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Timu limesajiri nusu ya wachezaji injury prone , unategemea NiniKwahyo n WA Chelsea Tu ...Afun nyie wakwenu n timu zingine wanakuwa perfect hawapati injury?....ukisikia dalili za mtu kuwa mchawi ndo hizi[emoji23]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tushakuzoea ulidai kwa usajiri huu wa £300m , mtasumbua Sana msimu huuHuo ni msiba, hawatakuelewa sasa hivi, ila wakikumbwa na majeruhi watakumbuka maandishi haya
Kwani ligi iko stage gani ndg?Tushakuzoea ulidai kwa usajiri huu wa £300m , mtasumbua Sana msimu huu
Matokeo yake mmekuwa Kama Burney ya Sean Dyche
Arsenal sio Chelsea, sikatai kuna wachezaji wawili watatu wakiumia inaweza kuleta shida kidogo, kilichowaponza Chelsea ni kwamba system aliyotumia Tuchel 343 ilitegemea zaidi individual quality, mnavyoattack mnakuwa na watu watano mbele ila wawili ni wing backs na watatu ndio natural attackers kuna kitu kinamiss hapo timu inahitaji kuwa clinical enough to kill games, Arteta ana 433 elite positional play anatumia 5 pure attackers, Jesus,Ø,saka,Nelli,xhaka. Hatutegemei individual quality ni system inaflow yenyewe anatoka Saka anaingia Nelson bado Forest anakufa 5-0, au hukuona bruv? Mikel Arteta is so good.A honest opinion.
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini msimu huu Arsenal atachukua ubingwa though form yenu ya sasa ni nzuri ila swala la ubingwa bado hamjawa qualifiedView attachment 2422885
Angalia huu msimamo katika wakati kama huu hiyo ilikua msimu uliopita kilichotokea unakijua omba usipate majeruhi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaamini ChelKenge kwa usajiri huu wa kina auba ,koloboi, Sterling ,Ina jipya ?Kwani ligi iko stage gani ndg?
Hawawezi kukuelewa , maana wamezoea 3-4-3Arsenal sio Chelsea, sikatai kuna wachezaji wawili watatu wakiumia inaweza kuleta shida kidogo, kilichowaponza Chelsea ni kwamba system aliyotumia Tuchel 343 ilitegemea zaidi individual quality, mnavyoattack mnakuwa na watu watano mbele ila wawili ni wing backs na watatu ndio natural attackers kuna kitu kinamiss hapo timu inahitaji kuwa clinical enough to kill games, Arteta ana 433 elite positional play anatumia 5 pure attackers, Jesus,Ø,saka,Nelli,xhaka. Hatutegemei individual quality ni system inaflow yenyewe anatoka Saka anaingia Nelson bado Forest anakufa 5-0, au hukuona bruv? Mikel Arteta is so good.
Sterling si afadhali kibu Denis?Ake akija pale arsenyeto hawezi kuwekwa benchi na vikina gabriel na cjui Ben mweupe ...Tuchel naona kampenda kwasababu ya versatility yake anaweza akakichafua hata leftback... sterling na kosakosa zake za magoli kuna arsenal player gani WA sahv anaweza akamatch numbers zake?[emoji23]
Hizi habari sijui uliziokota wapiGabriel Jesus ndio habari ya mjini. Fabrizio anadai Chelsea wameanza mazungumzo na Kipara yuko tayari kutupa over Arsenal
Mnasemaje wadau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora hata sterling na pengine n kwasababu yupo n creative no. 10 wazuri...kuna msimu alimaliza na goli 20 pale city....
Mpiga ramliKulingana na sajili zinazofanywa katika ligi pendwa ya EPL mpaka sasa nafasi ya kwanza ya pili na tatu tayari zimeshajazwa na Man City, Liver na Tot kilichobaki sisi tunapambania nafasi ya 4 kushuka chini.
Tunahitaji matured CB hata mmoja, kiungo mzalishaji na aggressive forward. Ukiangalia sokoni kwa hali ilivyo kumchukua Kounde sasa ivi ni very risk bora angekuwepo Rudiger ndio wacheze wote ni afadhali hata Kimpembe. Ukija kwa foward karibia wote wazuri washakua occupied.
Msimu ujao kama tusipomaliza nafasi ya sita na kutolewa group stage. Sijui
Make Kwanza nicheke[emoji1787]Umeona vyema. Usajili unaowekewa maanani ni wa Dembele, Kounde na replacement ya Kepa. Maeneo muhimu kama ya kiungo mpikaji wa magoli na agressive striker au forward hakuna kabisa. Sijui usajili wa akina werner, Lukaku, Ziyech umewapa woga wa kukurupuka. Waliobaki wazuri kwa mbele ni Nkunku. Kiungo mpikaji wa magoli hawapo sijui tunaenda wapi. Labda watakaotubakiza nafasi ya nne ni hao akina Arsenal na Manure maana nao wameishiwa sera kama sisi
Utasifia mifumo wee lakini usisahau wachezaji ndio wanatengeneza mfumo sasa kama itatokea mchezaji mmoja au wawili mpaka watatu hawapo hapo ndio utaelewa nachomaanishaArsenal sio Chelsea, sikatai kuna wachezaji wawili watatu wakiumia inaweza kuleta shida kidogo, kilichowaponza Chelsea ni kwamba system aliyotumia Tuchel 343 ilitegemea zaidi individual quality, mnavyoattack mnakuwa na watu watano mbele ila wawili ni wing backs na watatu ndio natural attackers kuna kitu kinamiss hapo timu inahitaji kuwa clinical enough to kill games, Arteta ana 433 elite positional play anatumia 5 pure attackers, Jesus,Ø,saka,Nelli,xhaka. Hatutegemei individual quality ni system inaflow yenyewe anatoka Saka anaingia Nelson bado Forest anakufa 5-0, au hukuona bruv? Mikel Arteta is so good.
Hivi wewe ni mchungaji au?Bado unaamini ChelKenge kwa usajiri huu wa kina auba ,koloboi, Sterling ,Ina jipya ?
Kama timu ndogo tu zinawatoa jasho ,bado una amini mnapambania ubingwa?
Mkapimwe akili
Hata hili tutakuja kufukua ,endelea kufanya ushirikinaUtasifia mifumo wee lakini usisahau wachezaji ndio wanatengeneza mfumo sasa kama itatokea mchezaji mmoja au wawili mpaka watatu hawapo hapo ndio utaelewa nachomaanisha
Hata hivyo mimi nimetoa tahadhari tu. Naona mmejaa humu mnafukua makaburi yan utafikiri mshachukua ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuwaache tu watambe. Muda utasemaHuo ni msiba, hawatakuelewa sasa hivi, ila wakikumbwa na majeruhi watakumbuka maandishi haya
Hamtaki kusikia ukweli halafu mnaukataa ukweli kwa lugha nyepesi eti tunafanya ushirikina.Hata hili tutakuja kufukua ,endelea kufanya ushirikina
Unajitia kidole halafu unanusaHamtaki kusikia ukweli halafu mnaukataa ukweli kwa lugha nyepesi eti tunafanya ushirikina.
Haya basi nyie ni mabingwa wa EPL huu msimu wa 22/23. Jamani pongezi nyingi kwa Arsenyeto kwa kubeba ubingwa[emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda unasema hata Sasa