🙌😂😂😂THE BLUES NA PROJECT UCHWARA
1. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)
2. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)
3. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)
4. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira
5. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga
6. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge.
7. Kante - Majeruhi Yasioisha
8. Kovacic - Majeruhi Yasioisha
9. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara
10. Pulisic - Mtumishi hewa
11. Ziyech - Tumeshindwana
12. Harvetz - Tunapotezeana muda
13. Zakaria - Tatizo la kutokuwa ma mechi fitness
14. Silva - Mzee
Ni kweli lakini hii system anayocheza kocha hapana sote tunajuwa uwezo umepungua kwanini anashindwa kucheza 451 yuko na mfumo 3222 team haiungi wangecheza hata masaa 24 hakuna wakufunga halafu baya kila mechi same system. Chelsea dhambi za kumfukuza Tuchel wakamuombe tu tumekosa njoo jenga team kwa next season.THE BLUES NA PROJECT UCHWARA
1. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)
2. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)
3. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)
4. Silva - Mzee (tegemezi)
5. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira
6. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga
7. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma
8. Kante - Majeruhi Yasioisha
9. Kovacic - Majeruhi Yasioisha
10. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara
11. Pulisic - Mtumishi hewa
12. Ziyech - Tumeshindwana
13. Harvetz - Tunapotezeana muda
14. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness
15. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo
16. Scouting team - Wapumbavu
Huyo si alikuwa anawapeleka shimoni ,bring back our Tomas Tuchel
Hawa washenzi niliacha angalia mechi zao sababu kuna siku wamenisababishia hasara kubwaTHE BLUES NA PROJECT UCHWARA
1. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo
2. Scouting team - Wapumbavu
3. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)
4. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)
5. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)
6. Silva - Mzee (tegemezi)
7. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira
8. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga
9. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma
10. Kante - Majeruhi Yasioisha
11. Kovacic - Majeruhi Yasioisha
12. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara
13. Pulisic - Mtumishi hewa
14. Ziyech - Tumeshindwana
15. Harvetz - Tunapotezeana muda
16. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness
Nyam nyamTHE BLUES NA PROJECT UCHWARA
1. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo
2. Scouting team - Wapumbavu
3. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)
4. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)
5. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)
6. Silva - Mzee (tegemezi)
7. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira
8. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga
9. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma
10. Kante - Majeruhi Yasioisha
11. Kovacic - Majeruhi Yasioisha
12. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara
13. Pulisic - Mtumishi hewa
14. Ziyech - Tumeshindwana
15. Harvetz - Tunapotezeana muda
16. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mamamae hutaacha kuona kila rangibring back our Tomas Tuchel
Upo sahihi kabisa hata wakimuacha potter akaja kocha mgunda bado hatotatua kitu chochote kutokana na hawa wachezaji wetu sasahivi...kikosi hakipo balanced Sana ....kuna injuries, inconsistent players, na hatuna sporting director hopeful by January atapatikana tuanze kusuka kikosi vzuri ... Cha ajabu kuna watu wanamkumbuka TT Ila unakuta kipindi yupo walikuwa wanamponda na back 3 yake, kucheza Sana back passes au kuchezesha wachezaji out of positions [emoji23][emoji23][emoji23]Bado Huyu GP niko naye bega kwa bega maana tatizo ni wachezaji ila Kocha yuko vizuri sana tu.
Tuendelee kutulia wakati wa hatari, na hapa ndipo kipimo cha mashabiki maandazi wanapopatikana...[emoji28]
Mechi niliyosikitika kufungwa ni ile ya Brighton tu japo timu zote nne walizotufunga ziko bora against timu mbovu tuliyonayo kwa sasa.Bado Huyu GP niko naye bega kwa bega maana tatizo ni wachezaji ila Kocha yuko vizuri sana tu.
Tuendelee kutulia wakati wa hatari, na hapa ndipo kipimo cha mashabiki maandazi wanapopatikana...[emoji28]
Siku 28 zipi tena, wachezaji wanaenda WC hatabaki na wachezaji muhi.u. tukirudi mchakamchaka ni ule ule. Muhimu ni kwamba key players wataanza kurudi na tuchukulie WC haitatuletea majeruhi.Mkuu me huwa niko nakocha yoyote yule atakaekuwepo,,
Kocha hata akiwa Mgunda bado nitamsupport, huwa naamini katika swala la mda,
Naiman hizi siku 28 zijazo Potter ataweza implement Mbinu zake na idea yake,
Mda aliopewa tim ulikuwa ni wakat mbaya sana based na ratiba iliyokuwepo, every 2-3 days uko na game inakuwa ngumu sana kuweka idea zako na mbinu zako
Ila sasa kwa haya mapumziko ya world cup ndio wakat sahihi sasa
Usipate shida. Kamera zinammulika kuliko tunavyodhani. Ila naamini mambo mawiliTrust the process eti daah mpaka tushuke daraja
Tunaenda siku 28 mapumziko ya world cup, sio wote wanaoenda world cup + wengine mwisho wa mwez huu wanarudi kutoka majeruhi.Siku 28 zipi tena, wachezaji wanaenda WC hatabaki na wachezaji muhi.u. tukirudi mchakamchaka ni ule ule. Muhimu ni kwamba key players wataanza kurudi na tuchukulie WC haitatuletea majeruhi.
Tena huyu mtoto mpuuuz sana back pass tena kwa goli keeeperWe have the same problem because we have the same player, chalobah kila mpira ni back pass
Sasa hivi Chelsea ikicheza mashabiki wake wanacheza baikoko huku wakimwagiwa maji ili iwe ndembendembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]THE BLUES NA PROJECT UCHWARA
1. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo
2. Scouting team - Wapumbavu
3. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)
4. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)
5. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)
6. Silva - Mzee (tegemezi)
7. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira
8. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga
9. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma
10. Kante - Majeruhi Yasioisha
11. Kovacic - Majeruhi Yasioisha
12. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara
13. Pulisic - Mtumishi hewa
14. Ziyech - Tumeshindwana
15. Harvetz - Tunapotezeana muda
16. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness