Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tarehe 19 January namkaribisha darajani Man Utd, Alafu tarehe 3:2:2014 ntakua Etihad Kwao Man City! Yani Hawa wote nitawatembezea kichapo vibaya sn!

Kaeni mtulie! Mtakuja kuona!
 
Mkuu Ntuzu, unakumbuka mjadala wetu wa wiki iliyopita?
Niliandika hapa hoja kadha wa kadha nikimtetea Mourinho, baadhi ya wadau leo siwaoni sijui wako wapi akina Chebi na wenzake! Ukweli ni kwamba..tutachukua pointi za kutosha msimu huu. Mourinho "One of Us"
 
Mkuu watu hawamjui Mourinho na ndio maana huweza kuongea wawezavyo! Mourinho ndio alieleta mapinduzi makubwa ya soccer ulaya na duniani ya kila kitu!

Kwangu Mimi Mourinho ni mtu asielezeka! Ni mtu anaeijua Falsafa ya mpira ya Hali ya juu!

Makocha wakubwa na wadogo wanamjua Huyu vizuri sn!

Huyu mtu unaweza ukashinda kutwa nzima unamuelezea jinsi alivyo na usimmalize!

Ukitaka kujua Mourinho ni nani muulize Abramovic na wachezaji wote ktk timu alizopita kufundisha watakuambia kua Huyu ni kocha hatari!

Ktk karne ya 20 sijawahi kuona au kusikia Km kuna kocha Km Huyu! Na pia Hii karne ya 21 sizani Km kutakuja kua na kocha Mwenye Falsafa ya mpira ya Hali ya juu na Kali na Ngumu Km ya Mourinho!
 
Kuna documentary yake kule 'youtube'..jamaa balaa.
Yaani huwa hafungwi kirahisi na 'wadogo' zake, mfano Steve Clarke, AVB, jana Brendan Rodgers etc. lakini yeye amewahi kumfunga mkubwa wake, yule mzee wa Bayern Munich-Van Gaal ilikuwa Bayern Munich 0 - Inter Milan 2 fainali ya UCL - 2010.
 
jana tulianza hivi: 4-2-3-1

i.e. Ivanovic-Cahill-Terry-Azp, Luiz-Lampard, Hazard, Oscar, Willian, eto'o.
Huyu dogo Cesar Azp (28), anacheza full-back nzuri sana..anakaba pande zote. Kweli ndo maana cole anakaa benchi. Dogo mwepesi sana, kupanda na mpira, krosi zenye macho na kukaba kwa akili.

Mkuu Cesar hajatumika sn Km A Coly! Anachofanya Mou ni kuwapumzisha baadhi ya wachezaji kutokana na kutumika sn na pia A Coly alipata majeruhi ambayo yalimfanya awe anapumzika ingawa kapona lkn Mou anampunzisha Zaidi Km Essien! Na pia unapaswa kufahamu kua kwa Mou kila mchezaji ni muhimu na lazima acheze! Ingawa sasaiv kwa kikosi kilichocheza na Arsenal Km kinalingana! Hiki akiwa anapanga hivi Mara kwa mara na wakawa wanacheza asilimia Mia wachezaji wote kushinda Kwao itakua ni Jambo rahisi sn kuliko kufungwa!
 
Kuna documentary yake kule 'youtube'..jamaa balaa.
Yaani huwa hafungwi kirahisi na 'wadogo' zake, mfano Steve Clarke, AVB, jana Brendan Rodgers etc. lakini yeye amewahi kumfunga mkubwa wake, yule mzee wa Bayern Munich-Van Gaal ilikuwa Bayern Munich 0 - Inter Milan 2 fainali ya UCL - 2010.

Na ukumbuke kua wakati Brendan Rodgers anakwenda Liverpool na hiyo timu ikawa inasuasua Mou akiwa bado Spain aliwambia Liverpool kua Huyo kocha ataiweka liver sehemu nzuri apewe muda mzuri afanye kazi! Na kweli Liver sasa inacheza mpira Wa Hali ya juu sn na wana wachezaji wasiokua na majina makubwa wanajituma kweli! Wanakaba kwa pa1 wanashambulia kwa pa1 Na kasi ni moja na kwa mpira wowote pasi fupi na ndefu!
Wanatisha sn! Alichokifanya Mou tangu juzi ni kuwaua liver kisaikolojia kwa kuwasifia sn kuanzia kocha mpk wachezaji huku mkakati wake ukibaki kua siri na kuadhimia kumfunga kabisa liver kwa namna yeyote ile. Namatokeo yake tumayaona yametimia na kuweka heshima!
 
Hongera kwa ushindi wa jana mkuu.
 
Hongera kwa ushindi wa jana mkuu.

Asante Mkuu! Nawe pia hongera kwa kurudi tena kileleni?

Vipi ligi unaionaje lkn? Hatuwezi kutabili bingwa sasaiv! Ila timu itakayowafunga au kutoka drop na timu za top 4 zote na vile vidogo ikawa inavifunga au kupata droo ndio itakua bingwa! Vinginevyo Hali ni Ngumu!
 
Thanx pia mkuu.
Ligi bado tata sana ukiangalia timu nyingi za juu zimezidiana kwa point 1 au 2 na nyingine ni kwa idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa na kwa hali ilivyo sasa mtu ukifungwa mechi moja tu unadrop kwelikweli kama vile ilivyokuwa kwa Liverpool kuweka rekodi yake ya kuongoza ligi Xmas but boxing day akadrop mpaka nafasi ya 4 na sasa ni wa 5.
So kiuhalisia ni mapema mnoo kutabiri bingwa kwa sasa.
 
Mwanangu Hali ni Ngumu sn! Na huu muda timu zote Hasa zile kubwa hazitokubali kufungwa! Yani sasaiv kila game ni muhimu mpk waachane kwa point nyingi kidogo!
Kazi sn Mkuu! Ila ndio ligi imefika patamu sn
 
Mkuu Cesar hajatumika sn Km A Coly! Anachofanya Mou ni kuwapumzisha baadhi ya wachezaji kutokana na kutumika sn na pia A Coly alipata majeruhi ambayo yalimfanya awe anapumzika ingawa kapona lkn Mou anampunzisha Zaidi Km Essien! Na pia unapaswa kufahamu kua kwa Mou kila mchezaji ni muhimu na lazima acheze! Ingawa sasaiv kwa kikosi kilichocheza na Arsenal Km kinalingana! Hiki akiwa anapanga hivi Mara kwa mara na wakawa wanacheza asilimia Mia wachezaji wote kushinda Kwao itakua ni Jambo rahisi sn kuliko kufungwa!

Mkuu Ntuzu, tofauti kati ya Azp na Cole ni 'wepesi', dogo ni mwepesi sana nafikiri kwa mpira wa sasa full back mzuri anapaswa kuwa na umri usiozidi miaka 30. Lakini hata hivyo namheshimu sana Ashley Cole.
 
kuna mchezaji wetu yuko kwa mkopo 'full back' tulimsajili msimu huu anaitwa Wallace, yule dogo safi sana pia.
 
Uzuri wa David Luiz kucheza pale kati ni kwamba jamaa ana pasi ndefu. Nakumbuka enzi za Michael Ballack(#13) jamaa alikuwa na pasi za maana, hasa kama timu inashambuliwa zinasaidia kufanya mashambulizi ya kushitukiza..wapinzani lazima wakae.
 
Mkuu, Willian sasa ameanza kucop mpira Wa Mourinho na si yeye tu ata Hazard!

Alafu pia Luiz nae yuko vizuri lkn hajazoea kucheza pale Kati sn kwani inatakiwa uweze kupanda Na kushuka Yani hiyo ni lazima! Sasa siku ya liver kuna kipindi alikua amechoka akawa hapandi na akipanda kurudi unamuona anashindwa! Na bahati mbaya Lampard alivyo umia akaingia Obi nae akiwa anaumwa mafua na majeruhi kidogo Kiungo kikaonekana kulegea kidogo!

Kwakifupi kila mchezaji ni muhimu na kuna machi kulingana na adui jinsi walivyo lazima apangwe!

Oscar ameanza kujilekebisha! Yale makosa madogo kapunguza! Juzi kacheza vizuri
 
Ni kweli mkuu, David Luiz ni mchezaji mzuri ila anachoka mapema, na ukabaji wake pia hunishangaza na mimi, yeye na Ivanovic huwa wazuri ila upungufu wao ni wepesi wa kumgeuzia mgongo mshambuliaji. Hasa wanapokutana na mtu msumbufu. Luiz akicheza kati au pembeni kama alivyofanya ile gemu vs Norwich madhara yake yanakuwa machache kuliko akicheza kati alaf awe kaamka vibaya..daah sijasahau alichotufanyia siku ile Chelsea 1 - Athlecito Madrid 4. Hata hivyo Luiz ana uzuri wake, anajua kuhamasisha wenzake kama tu 'mzee' Eto'o akifunga uwanja mzima unalipuka ..maana jamaa kwa vituko kiboko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom