Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea - back to back European champions. I loved this club. Siku zote nawaambia wapinzani. Beware of the harzadous Eden hazard.
 
Ni kweli mkuu, David Luiz ni mchezaji mzuri ila anachoka mapema, na ukabaji wake pia hunishangaza na mimi, yeye na Ivanovic huwa wazuri ila upungufu wao ni wepesi wa kumgeuzia mgongo mshambuliaji. Hasa wanapokutana na mtu msumbufu. Luiz akicheza kati au pembeni kama alivyofanya ile gemu vs Norwich madhara yake yanakuwa machache kuliko akicheza kati alaf awe kaamka vibaya..daah sijasahau alichotufanyia siku ile Chelsea 1 - Athlecito Madrid 4. Hata hivyo Luiz ana uzuri wake, anajua kuhamasisha wenzake kama tu 'mzee' Eto'o akifunga uwanja mzima unalipuka ..maana jamaa kwa vituko kiboko.

Unajua ukisajiliwa Hasa kwa nafasi ya ufungaji Yani Striker inakua ni Km kero kichwani Hasa kwa timu kubwa kwasababu mashabiki na kocha watapenda kuona unatupia magoli! Kumbuka wakati ule mgumu kwa Tores, Yani alikua ata ukimtizama usoni unaona unyonge au simanzi Fulani ivi! Kwasababu changamoto ni nyingi! Vyombo vya Habari vitakuandika vibaya Hasa kulingana na ghalama uliyonunuliwa lkn haufungi magoli na Km ujuavyo vyombo vya Habari vya uingereza vilivyo na nguvu! Kwahiyo ni kazi sn Mkuu! Ndio maana Eto'o akipata goli Yani hufurahi karibu ya kufa! Kwanza kabisa Eto'o anampenda sn Mourinho na pia alifurahi sn kucheza England tena timu kubwa! Kwahiyo lazima awe na mzuka mkubwa!

Luiz ni beki mzuri sn tena Zaidi anavyocheza ndivyo anavyozidi kupata uzoefu! Alikua na makosa pale siku za mwanzo lkn sasaiv anakwenda vizuri! Na ukumbuke kwenye usajili pale nyuma Barc walimtaka sn lkn Mou aligoma kumuuza!

Kukaba kwa kugeuza mgongo ni kujiandaa kukaba kwa kukimbia kurudi nyuma! Hiyo ni mbinu nzuri kwasababu ni bora ukawa bado uko mbele ya adui inakua bado hujapitwa na unaweza ukafanya chochote kile! Na jinsi wacheza walivyo na kasi Yani ukipitwa Km beki lazima uwe mpole!
 
Chezeni mpira mnalalamikia marefa ili iweje...michezaji imezeeka mpaka ime expire bado mnaota kuchukua kombe..kanyweni viroba kule..

Bcq89PGIQAA5h2e.jpg





na burungutu alilopewa hapa chini .... ...



BcrgC7mCIAAiSMl.jpg



Chezea mafioso weye .... ...... ...
imekula kwenu khe khe kheeeeeeeeeeKheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee






Hongereni wakuu kwa kusajili mchezaji wa akiba .... ..... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hongereni wakuu kwa kusajili mchezaji wa akiba .... ..... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Acheni zenu hizo! Huyo ni shabiki Wa Man Utd!

Sisi mchezaji wetu Corina au Babu Upara!
 
Mkuu Ntuzu, tofauti kati ya Azp na Cole ni 'wepesi', dogo ni mwepesi sana nafikiri kwa mpira wa sasa full back mzuri anapaswa kuwa na umri usiozidi miaka 30. Lakini hata hivyo namheshimu sana Ashley Cole.
Aminia mkuu,
Ndugu yangu Ashley umri unapiga hodi, spidi yake uwanjani imepungua na mpira wa siku hizi unazidi kua wa kasi sana....
 
Bantugbro, daah huku nako upoo? Safi sana tumezoeana kuonana kulee kwetu SKY ama vipi?
 
Mwanangu Hali ni Ngumu sn! Na huu muda timu zote Hasa zile kubwa hazitokubali kufungwa! Yani sasaiv kila game ni muhimu mpk waachane kwa point nyingi kidogo!
Kazi sn Mkuu! Ila ndio ligi imefika patamu sn

yap ligi ndio imefika patamu kwelikweli ngoja Tusubiri New Year tuone mambo yatakuwaje?
 
Mkuu Ntuzu, unakumbuka mjadala wetu wa wiki iliyopita?
Niliandika hapa hoja kadha wa kadha nikimtetea Mourinho, baadhi ya wadau leo siwaoni sijui wako wapi akina Chebi na wenzake! Ukweli ni kwamba..tutachukua pointi za kutosha msimu huu. Mourinho "One of Us"

Mkuu watu hawamjui Mourinho na ndio maana huweza kuongea wawezavyo! Mourinho ndio alieleta mapinduzi makubwa ya soccer ulaya na duniani ya kila kitu!

Kwangu Mimi Mourinho ni mtu asielezeka! Ni mtu anaeijua Falsafa ya mpira ya Hali ya juu!

Makocha wakubwa na wadogo wanamjua Huyu vizuri sn!

Huyu mtu unaweza ukashinda kutwa nzima unamuelezea jinsi alivyo na usimmalize!

Ukitaka kujua Mourinho ni nani muulize Abramovic na wachezaji wote ktk timu alizopita kufundisha watakuambia kua Huyu ni kocha hatari!

Ktk karne ya 20 sijawahi kuona au kusikia Km kuna kocha Km Huyu! Na pia Hii karne ya 21 sizani Km kutakuja kua na kocha Mwenye Falsafa ya mpira ya Hali ya juu na Kali na Ngumu Km ya Mourinho!



Football managers are paid to win trophies for their clubs. In ten years of club management, Mourinho has won 16 major trophies; if you add 3 super cups and a community shield that make it 20 trophies. In life we have the winners like Jose and the others which include the likes of Dithering Dave.
 
Kheri ya mwaka mpya wanamichezo wote jamani. Kila lilo kheri kwa mwaka mpya wa 2014, Tulipokwaruzana Tusameheane jaman.
HAPPY NEW YEAR 2014.
 
Football managers are paid to win trophies for their clubs. In ten years of club management, Mourinho has won 16 major trophies; if you add 3 super cups and a community shield that make it 20 trophies. In life we have the winners like Jose and the others which include the likes of Dithering Dave.

Huo ni ukweli Wa wazi!
 
NINI HATIMA YA KIUNGO WETU KIPENZI JUAN MATA! MANA NAONA KAMA MFUMO UNAMUWEKA KANDO, KUNA TETESI PIA CHELSEA WANAMALIZIA DILI LA KUMSAJILI FREDY GUALIN KUTOKA INTER. NADHAN MUDA WA ESSIEN KUONDOKA UMEFIKA PAMOJA NA BA,OR=#0000ff]

Trophy-Celebrations-Chelsea-Champions-League-_2767954.jpg
[/COLOR]


Winners-Trophy-Chelsea-Champions-League-final_2767960.jpg


The Chelsea players celebrate after the win



[/CENTER][/QUOTE]
 
NINI HATIMA YA KIUNGO WETU KIPENZI JUAN MATA! MANA NAONA KAMA MFUMO UNAMUWEKA KANDO, KUNA TETESI PIA CHELSEA WANAMALIZIA DILI LA KUMSAJILI FREDY GUALIN KUTOKA INTER. NADHAN MUDA WA ESSIEN KUONDOKA UMEFIKA PAMOJA NA BA,OR=#0000ff]

Trophy-Celebrations-Chelsea-Champions-League-_2767954.jpg
[/COLOR]


Winners-Trophy-Chelsea-Champions-League-final_2767960.jpg


The Chelsea players celebrate after the win



[/CENTER]
[/QUOTE]

Inaumiza sana kuona mchezaji kama mata anakaa bench,ila the happy one anaijua zaidi chelsea
 
"I think Jose Mourinho likes me. He's sometimes provocative; he loves to play mind games," Hazard said.

"He launches things to motivate players in a positive way. What people don't know is that he's close to his players.

"He leaves me alone, lets me work and when he has something to say, he tells it to your face but always with a friendly pat on the back.

"He a top coach and a great personality."
- Eden Hazard
 
Kati Oscar kushoto na kulia Eden Hazard (#17) na Willian da Silva(#22), sasa unaweza kuelewa kwa nini Juan Mata(#10) anapata tabu kuanza kwenye mechi nyingi.

Kumbuka kwenye benchi kuna mafundi wengine pia, Andre Shurrle (#14) na Kelvin de Bruyne (#15). Yaani hapo ni wachezaji 6 wanagombea nafasi 3. Ukikurupuka unaweza kumlaumu kocha, lakini wote hao ni wachezaji wazuri. Kwa sasa, nafikiri Willian da Silva anaanza kumnyima Mata hata nafasi ya pembeni. Hazard akiwa mzima lazima acheze, staili yake ya kucheza ina faida sana kwa Chelsea. Tusubiri kuona ufundi zaidi..mashine sasa imeanza kupata moto. Chelsea - the Champions.:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Ili mata Acheze, labda itabidi Eden Hazard awe anacheza mbele kabisa, yaani 'zero number 9' wakati huo Torres na Eto'o wako benchi, alafu mata anacheza nafasi ya Hazard...kama ilivyokuwa kwenye SuperCup vs Bayern Munichi.
 
Essien amepata nafasi ya kucheza kwa sababu dogo Marco Van Ginkel (#16) ameumia, na hatakuwepo msimu mzima huenda. Lakini hata hapo kwenye ukabaji wake wengi. Mechi ya leo David Luiz hatakuwepo, lakini kijana wa kazi Ramires "wonder boy" atakuwepo pale kati huenda akaanza na Mikel kama atakuwa kapona, maana Franck Lampard "super frank" aliumia mechi na Liverpool.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom