Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
pigapigaaaaa garagaza japo siutazami ila naona kwa hisia
Leo the blues tumelichinja jogoo na kugawana vipapatio vyake. Chezea Chelsea wewe!
1st half mmepiga mpira mkubwa sanaaaaa....shkamoo chelsea
Marhabya! Huyo ni baba Mourinho! Mpira mkubwa kale katimu kakasukumwa nyuma vibaya sn! Leo sijui kalitembea peke yake?! Maana kauli mbiu Yao ile ya You will never walk alone. Leo majanga!