Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Toa sterling weka Pulisic....

Ndio kitu cha mwisho tunaweza fanya.
Sasa ninaanza kumuelewa PEP kwa nini kamuachia huyu kirahisi vile, Sterling ni mlenda uliokosewa kupikwa. Too much legelege. Jana kacheza hovyo sana. GP ampige benchi ili Summer ijayo atafute timu nyingine tena
 
nyie chelwowowo amkeni mnalala hadi muda huu mna raha gani
 
Tunahitaj viungo wapya hata wa 3, 1 kama dm mwingine kama cm au b2b, mwingine kama no 10,
Tangu aondoke fab,Mata hata Hazard sio mtu mchezaj wetu anayeweza kuwa na jicho la ziad la kutengeneza nafasi

Tunahitaj back up ya James,

Hii tim now inahitaji Rebuild ya hali ya juu na tuanze na trust the process,

Wachezaj tulio nao hawawez tupeleka nchi ya ahadi,
Tumejaza Average player wenye majina na si Quality,
Ila nilichogundua pia sio wachezaji wote average. Timu yeyote ikikosa balance kama GP anavyokazania hiyo team balance inapwaya na kuonekana timu yote mbovu. Kukosekana kwa James na Kante kunafanya hilo tatizo liwe kubwa. Chunwuemeka ni kijana mchezaji mzuri sana kwa mechi chache alizopewa. Akiendelea kuaminiwa akapewa mechi nyingi atatufaa. Broja ni striker mzuri akiongeza yaliyopungua. Anayo nguvu, ana speed ya kuwatoka mabeki. Ana uwezo wa kudisposes kwenye final third, akiongeza movements zile hatari za kucreate chances atafunga sana
Hata tusipopata DM, tukipata kiungo mwenye kujua kuchezehs atimu na kupeleka mashambulizi mbele opponent hawatapata urahisi wa kutushambulia. Fab hakuwa DM lakini uchezeshaji wake uliweza kuwafanya oponents wetu wawe wanajihami kila saa badala ya kutushambulia. Tukipta DM na hao attacker wazuri itakuwa faida zaidi. City hawana DM mzuri wala mabeki wazuri sana ila uchezeshaji wao ndio unaowafanya kila saa wawe wanashambulia badala ya kushambuliwa
 
Ule upande wa Azplicueta siku akikutana na Martinel, tuwe na bahat tu otherwise tutakuwa tupe matatizone mda wote
Ila pia GP anaweza kuweka remedy kwa kuhakikisha kila mara Azpi anapombana anakuwepo mchezaji mmoja au wawili wa kumpa tafu ili akizidiwa asilete madhara. Angalau kwa sasa hadi James arudi au January ifike tusajili backup ya James
 
Chukwuemeka ni usajili mzuri. Ni muda tu utatuambia wala sio mrefu. Huyu akimaliza msimu mmoja na dakika za kutosha, msimu unaofuata atakiwasha sana
1666508099971.png
 
Hii timu ni takataka
wanavyojadiliana kama wana wachezaji vile
kumbe wamejaza vibabu
sasa huyo thiago silva mtu yupo tangu vita ya vietnam mpaka leo anapangwa tu
ngoja kibabu azipilicueta akutane martineli ndio mtajua umri ni namba tu
 
Gafla katoka 3-4-3 ka shift 4-3-3

HUU mfumo wa 3-4-3 makocha wakisasa wanajua Sana kuuoverload ,

Conte aliteseka pia alizokutana na man u ,

Kwasasa hakuna mfumo mwepes kuufungua Kama 3-4-3/3-5-2
Ni mfumo mzuri kwa knock out stage
 
Nyie kenge,muje kuangalia soka linavyochezwà na sio ile VUVULUVAVALA yenu ya jana ....

LONDON IS 🟥 ALWAYS

DING DONG.
 
Ila nilichogundua pia sio wachezaji wote average. Timu yeyote ikikosa balance kama GP anavyokazania hiyo team balance inapwaya na kuonekana timu yote mbovu. Kukosekana kwa James na Kante kunafanya hilo tatizo liwe kubwa. Chunwuemeka ni kijana mchezaji mzuri sana kwa mechi chache alizopewa. Akiendelea kuaminiwa akapewa mechi nyingi atatufaa. Broja ni striker mzuri akiongeza yaliyopungua. Anayo nguvu, ana speed ya kuwatoka mabeki. Ana uwezo wa kudisposes kwenye final third, akiongeza movements zile hatari za kucreate chances atafunga sana
Hata tusipopata DM, tukipata kiungo mwenye kujua kuchezehs atimu na kupeleka mashambulizi mbele opponent hawatapata urahisi wa kutushambulia. Fab hakuwa DM lakini uchezeshaji wake uliweza kuwafanya oponents wetu wawe wanajihami kila saa badala ya kutushambulia. Tukipta DM na hao attacker wazuri itakuwa faida zaidi. City hawana DM mzuri wala mabeki wazuri sana ila uchezeshaji wao ndio unaowafanya kila saa wawe wanashambulia badala ya kushambuliwa
City wanaviungo wapikaji, n viungo wao wanaweza control game yoyote
Uwepo wa bernardo n gundogan + kdb, hawa wote wanauwezo wa kutengeneza nafasi bado hujawaongeza Foden+Mahrez+Grealish

Sisi sasa viungo wetu hawana uwezo wengi ni spana mkononi,

Bila kuwa na kiungo mbunifu ambae anaweza tengeneza nafasi tutaendelea kuhangaika,.
Yani ukiangalia tim yetu james akiwepo na asipokuwepo ni usiku na mchana,
Tuko matatizon kama mchezaj wetu bora n mtengenezaj wa nafasi ni james

Yani Usajil wa viungo now ni wa muhim kuliko shm yoyote ile, bilq hivyo tutaendelea kuhangaika

Kante,Kovacic,Loftus Cheek hawa wote ni spana mkononi mdq wowote wanarudi wodin.
 
Naimani werner anekuwepo kwa zama za GP Angekuwa na mchango mkubwa kuliko huyu Sterling. Kovacic akiumia ndio kabisa kiungo kina kuwa na standards za Aston villa kinachoniuma ni kwamba timu haina winger wa kumkeep busy adui tumejaza wachezaji nyoronyoro wasiokua aggressive kabisa
 
Gafla katoka 3-4-3 ka shift 4-3-3

HUU mfumo wa 3-4-3 makocha wakisasa wanajua Sana kuuoverload ,

Conte aliteseka pia alizokutana na man u ,

Kwasasa hakuna mfumo mwepes kuufungua Kama 3-4-3/3-5-2
Ni mfumo mzuri kwa knock out stage
Kila mfumo ndg Hamisi inategemea by 100% aina ya wachezaji ulionao. Na ndio maana mfumo unabadilika saa nyingine kocha anapofanya sub. 343 inahitaji uwe na wingbacks wanajua kupeleka mashambulizi na kurudi haraka kukaba. Mfano Luke Shaw hafai kwenye Wingback kwa sababu akienda mbele hawezi kurudi kukaba ni kama Marcos Alonso huyo aliyetimkia Barcelona. Reece James ni mfano mzuri wa Wingabck anayetakiwa kwenye 343 na ndio maan ahadi sasa ndie the best wingback EPL.

Unapotumia 343 ina maana unaua winger wasiwepo so Beki huyu huyu ndie anakuwa winger na ndio maana wanaitwa wing-back
Faida ya 343 kama timu ina wing-backs wazuri na wanaofaa, timu inakuwa ikicheza ikiwa na advatage ya wacheza wawili zaidi

Wakati wa kujilinda timu inakuwa na Kipa 1, CB 3, Fullback 2 na DM 2 jumla walinzi 8
Unaposhambulia unakuwa na Striker 1 na attacking midfielder 2 na wing-backs 2 jumla 5

Jumla kuu ya wachezaji uwanjani hypothetically wanakuwa 13 badala ya 11

Hii advantage haipo kwenye 433 ambayo inakuwa na
Kukaba
Kipa 1
CB 2
Full-backs 2
DM 1
Jumla ya walinzi 6
Kushambulia
striker 1
wingers 2
Attacking midfielders 2
Jumla ya washambuliaji 5
Jumla kuu 11

Hypothehtically washambuliaji kwenye 343 ni wengi but actualy kwenye real sense ni wachache mdio maana huu mfumo mara nyingi unafavor counter attack
 
City wanaviungo wapikaji, n viungo wao wanaweza control game yoyote
Uwepo wa bernardo n gundogan + kdb, hawa wote wanauwezo wa kutengeneza nafasi bado hujawaongeza Foden+Mahrez+Grealish

Sisi sasa viungo wetu hawana uwezo wengi ni spana mkononi,

Bila kuwa na kiungo mbunifu ambae anaweza tengeneza nafasi tutaendelea kuhangaika,.
Yani ukiangalia tim yetu james akiwepo na asipokuwepo ni usiku na mchana,
Tuko matatizon kama mchezaj wetu bora n mtengenezaj wa nafasi ni james

Yani Usajil wa viungo now ni wa muhim kuliko shm yoyote ile, bilq hivyo tutaendelea kuhangaika

Kante,Kovacic,Loftus Cheek hawa wote ni spana mkononi mdq wowote wanarudi wodin.
Na ndio maana nikasema tukipata viungo wa calibre hiyo kwa timu hii hii tulionao tutafika mbali. Kovacic ni kiungo mzuri ila hajafikia viwango vilivyoko City. Kama Kovacic hajafikia huko, hawa wengine ndio basi tena. Kama uongozi wataamua kuwekeza kwenye kiungo utawaona kule mbele wakifunga sana. Hata hao akina Pulisic, Broja, Auba, Sterling, Mount na wengineo kule mbele watafunga sana
 
Kovacic akiumia ndio kabisa kiungo kina kuwa na standards za Aston villa kinachoniuma ni kwamba timu haina winger wa kumkeep busy adui tumejaza wachezaji nyoronyoro wasiokua aggressive kabisa

Hapa ndio ilipo tofauti yani hatuna mchezaj anayeweza kufanya full backs wa tim pinzan wasipande.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom