Kama umemfuatilia leo tofauti na siku zingine, Auba hakuwa na movement zitakazowezesha apewe huduma. Ubove wa mcheza inaanzia kwenye movement anazofanya wakati hana mpira. Mfano fuatilia movement za Sterling, zinasababisha atengeneze nafasi nyingi, Hatra Mount goli la kwanza ni kwa sababu alikuwa anamove sio kukaa kama nguzoAuba atakuaje kwenye form ikiwa hakuna service aliyopata striker anaishi kwa huduma ukiwa haumpi huduma atakuwaje Bora ili awe ilitakiwa wachezaji waliomzunguka wamtengenezee chances za kufunga
Sisi Aston Villa tunawazidi makombe ya ligi nyie cheltako chelwowowo sasa Leo tutawapiga kama ngoma mkipata hata goli la offside mniite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Acha yafumuliwe matakataka yale yalituingilia kwenye sajili zetu. Akina Christian na Alonso nadhani wanajutia maamuzi yao
Mbwa koko wa mbagala 🤣🤣🤣Sisi Aston Villa tunawazidi makombe ya ligi nyie cheltako chelwowowo sasa Leo tutawapiga kama ngoma mkipata hata goli la offside mniite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Tatizo utamaduni wa Chelsea hautegemei mshambuliaji mmoja ..yani kila mtu ana fight kufunga.Auba atakuaje kwenye form ikiwa hakuna service aliyopata striker anaishi kwa huduma ukiwa haumpi huduma atakuwaje Bora ili awe ilitakiwa wachezaji waliomzunguka wamtengenezee chances za kufunga
Winning European trophies isn't for everyoneBeating Leeds united isn't for everyone
Sisi Aston Villa tunawazidi makombe ya ligi nyie cheltako chelwowowo sasa Leo tutawapiga kama ngoma mkipata hata goli la offside mniite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Mamaee cheltako chelwowowo mnaleta mdomo sshv mtapigwa kama ngoma tulieni yatima fc nyie 😂😂😂Mbwa kasoro mkia wewe.
Mipira mirefu au counter inatakiwa iwe ya kushtukiza, tukicheza hivyo kama ndio main game plan tutafungwaChelsea tuna uwezo wa kumfunga Mancity Potter akiwa strategical angalau tupate draw.
nguvu za mancity ziko kwenye middle field Halaad sio chochote au lolote ukimbana KDB na Forden huyu halaad kafunga 'tap in goals' 11 zote kutoka kwa pass safi za KDB hapo KDB ndo mchawi lazima atafutiwe dawa.
Kocha azigatie wachezaji wakongwe wenye uzoefu katika defence asiangalie umri au current form
Thiago sliva Azippe(chillewel) Kouribara na James(cucu) wawe safu ya ulinzi wakae nyuma bila kupanda kipindi cha kwanza, Kante jihginio kovicic mount(Kei) Wawe middle field kuvuruga mipango ya KDB Forden. Na wapige mipira mrefu long passes kwa double strikers.
Auba na sterling wabaki kama strkers kwa kupokea mipira mirefu tu.
hapo Mancity tutaipiga vizuri bila shida akijichanganya na gambling zake mara ameweka gharagha mara Loftus cheek, zienchy Boroja tuna pokea kipingo kama cha Man-u
Hilo lina wezekana ila tatizo la Chelsea hatuna holding middle fielder ambaye anaweza kushikilia mpira hata kwa dakika mbili tu, ukimuachia johginho ataupoteza tu Kante yeye ni moving middle fielder hawezi kukaa nao bila dribbling, Loftus cheek ni weak sana hata akipoteza mpira kurudi nyuma hawezi Mount na Kei wanaweza tiktaka passes ila sio ku hold, kwa hiyo kua safe bora kuupiga mbele Auba au sterling wapate dead balls kwa faul au wafanye attempts on goal kwahivo middle field ya City italazimika irudi nyuma kufuata mpira tena, viungo wa Chelsea watapata breathing space wajipange tena.Mipira mirefu au counter inatakiwa iwe ya kushtukiza, tukicheza hivyo kama ndio main game plan tutafungwa
Liverpool one long ball kutoka kwa Alisson ikamaliza biashara
Hata sisi tulipowafunga UCL final ilikuwa ni mpira ya wachezaji watatu, Beki to Mount to Havertz biashara ikaisha
City njia rahisi ya kuwamaliza ni kupress high. Wasipewe muda wa kucheza mpira labda wapige back passes.
High Pressing inatakiwa ifanywe na kila mchezaji, Lengo la high pressing ni kumnyima adui asicheza na akilazimisha nafanya makosa mengi ikiwemo kuachia nafasi, kucheza faulu mbaya, kupoteza mipira nakadhilika, Inawezekana, wachezaji wapewe maelekezo tu. Kinachowasaidia Arsenal hadi sasa ni high pressing, Liverpool walifanyiwa hivyo wakatolewa njke ya lengo na hata Arsenal wakikutana na City watawachezea hivyo hivyoHilo lina wezekana ila tatizo la Chelsea hatuna holding middle fielder ambaye anaweza kushikilia mpira hata kwa dakika mbili tu, ukimuachia johginho ataupoteza tu Kante yeye ni moving middle fielder hawezi kukaa nao bila dribbling, Loftus cheek ni weak sana hata akipoteza mpira kurudi nyuma hawezi Mount na Kei wanaweza tiktaka passes ila sio ku hold, kwa hiyo kua safe bora kuupiga mbele Auba au sterling wapate dead balls kwa faul au wafanye attempts on goal kwahivo middle field ya City italazimika irudi nyuma kufuata mpira tena, viungo wa Chelsea watapata breathing space wajipange tena.