Hii mada angejibu vizuri zaidi mlengwa, najua anamis lakini sio kwa kuwafananisha na hawa kenge wetuSi kwamba hallaand nae hapotezi nafasi anapoteza ila ana uhakika wakupata chance zingine za maana na ndio maana confidence yake inakuwa ya juu lakini kwa Chelsea je inaweza ikawa hivi?
Hata hawajaletwa unasema je nimnewataja na hawana ubunifu? au hujaelewa ninamaanisha nini?Hao wote uliotaja sijaona kiungo mbunifu umegusia ndio shida unapoanzia hapo
Bado ndio maana kasema hivyo, ni itifaki ya kawaida kukana kitu ambacho bado haijakamilikaHii habari inaweza kuwa kweli Lakini boss wa Freund amesema hakuna kitu cha namna hiyo[emoji851] ]View attachment 2361938
It's just matter of time to get it signed, also with Salzburg.Hii habari inaweza kuwa kweli Lakini boss wa Freund amesema hakuna kitu cha namna hiyo[emoji851] ]View attachment 2361938
Wakati tuna re build timu kumruhusu mchezaji mwenye uzoefu na mbinu kuondoka itakua misitaki kubwa, kocha mzuri yoyote anajua umuhimu wa mchezaji kama johginho, japo mashabiki wengi wana mbeza wanataka kila mchezaji awe anafunga kocha Potter usiruhusu johginho kuondaka utakosa uongozi wa dressing room na pinchGoodmoring The Blues
Barcelona target Jorginho swoop
Barcelona are considering a move for Chelsea star Jorginho next summer when he could be available on a free transfer, as per The Mirror.
The 30-year-old Italy international has just 10 months to run on his Stamford Bridge contract and, unless he agrees new terms in south-west London, he will be available to talk to overseas clubs from January.
View attachment 2362405
Alafu unamleta Nani? Tofauti na de jong hakuna mwingine mwenye uchezaji wa aina ya huyo mwambaGoodmoring The Blues
Barcelona target Jorginho swoop
Barcelona are considering a move for Chelsea star Jorginho next summer when he could be available on a free transfer, as per The Mirror.
The 30-year-old Italy international has just 10 months to run on his Stamford Bridge contract and, unless he agrees new terms in south-west London, he will be available to talk to overseas clubs from January.
View attachment 2362405
Jorginho may be a good midfielder BUT absolutely we need a midfileder better than JorgninhoWakati tuna re build timu kumruhusu mchezaji mwenye uzoefu na mbinu kuondoka itakua misitaki kubwa, kocha mzuri yoyote anajua umuhimu wa mchezaji kama johginho, japo mashabiki wengi wana mbeza wanataka kila mchezaji awe anafunga kocha Potter usiruhusu johginho kuondaka utakosa uongozi wa dressing room na pinch
Sawa umeeleweka ila midfielder kama nani....?kwahi Chelsea yetu ambayo bado aijapata falsafa au mfumo wa uchezajiJorginho may be a good midfielder BUT absolutely we need a midfileder better than Jorgninho
Levy can't let Kane leave hiyo ni day dreamingRumour Has It: New Chelsea boss Potter keen on Kane, plotting Lukaku exchange deal.
Source: TalkSPORT.
Jorginho inaonekana alishajilengesha muda mrefu ndio maana hataki mazungumzo ya mkataba. Anataka aende bure.Goodmoring The Blues
Barcelona target Jorginho swoop
Barcelona are considering a move for Chelsea star Jorginho next summer when he could be available on a free transfer, as per The Mirror.
The 30-year-old Italy international has just 10 months to run on his Stamford Bridge contract and, unless he agrees new terms in south-west London, he will be available to talk to overseas clubs from January.
View attachment 2362405
Na Levy anavyoichukia Chelsea, Kane to Chelsea over his dead body [emoji23][emoji23]Levy can't let Kane leave hiyo ni day dreaming
Hapo hapo Conte anajiuzulu ukochaNa Levy anavyoichukia Chelsea, Kane to Chelsea over his dead body [emoji23][emoji23]
For sure! Levy ni ngumu kukubali, ila hakuna kinachoshindikana kama Todd akiweka donge nono.Levy can't let Kane leave hiyo ni day dreaming
Huyo kirusi, hivi kuna mechi za kuanzia msimu uliopita ambazo Jorginho hakufanya big error ya makusudi?. Nahisi huyo ndie chanzo cha kumuharibia TT maana zile errors zilizkuwa za makusudi anazifanyia golini kabisaWakati tuna re build timu kumruhusu mchezaji mwenye uzoefu na mbinu kuondoka itakua misitaki kubwa, kocha mzuri yoyote anajua umuhimu wa mchezaji kama johginho, japo mashabiki wengi wana mbeza wanataka kila mchezaji awe anafunga kocha Potter usiruhusu johginho kuondaka utakosa uongozi wa dressing room na pinch
Tena kwa mahasim, wanasahau issue ya ModricLevy can't let Kane leave hiyo ni day dreaming
Wengi simlikuwq mnataka afukuzwe hata baada ya usajiliKumfukuza TT sio kosa ila kosa mimi naliona kwa nini aliwanunua wachezaji wengi wa TT halafu anamtimua na kumuachia kocha mwingine wachezaji wa kocha mwingine???
Kama alijua hamtaki si angemtimua kabla ya usajili ili aanze na kocha mpya na wachezaji anaowataka??