Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Press conference ya Graham Potter imefutwa, lazima kuna jambo huko
Graham Potter will be appointed as new Chelsea manager, as expected. Agreement in place, contracts now being prepared as proposal has been accepted. Here we go. [emoji599][emoji838] #CFC

Chelsea will complete the agreement with Brighton in the next hours.
 
Babu sarri hadi keppa alimgomea mzee wa watu akauchuna issue ikaisha[emoji23]
 
Sioni Potter akibeba kikombe chochote THE BLUES kabla ya kufukuzwa

Sioni Pochetino akibeba kikombe chochote THE BLUES kabla ya kufukuzwa

Ila namuona Zidane akibeba kikombe ndani ya kwa msimu mmoja tuu kabla ya kufukuzwa.
Kiongozi napingana na wewe, Graham atabeba na atapata mafanikio makubwa ndani ya Chelsea changamoto nisiyoweza kuitabiri kama ataiweza ni Dressing Room tu
 
Inatoweka vipi wakati ndio kwanza usajili umemalizika?!
Mnaweza poteana mazima sasa.
Kuna mambo mengi yaliyojitokeza hata kabla ya TT kufukuzwa kwanza kilikuwa na mvutano kuhusu Lukaku wa Wamiliki na TT, Ronaldo na treatment ya TT dhidi ya wachezaji vijana kuwa mbovu, pamoja na mivutano hiyo the end Wamiliki wakaamua kushusha mabega chini na wakamtii TT ili waone TT ataipeleka wapi team msimu ulivyooanza team ikawa achezi vizuri si tu hatupati matokeo mazuri pekee hata uchezaji wetu ni mbovu, kuna wakati baadhi ya wachezaji wakawa wanalalamika mbinu za kocha, TT pia akawa awaamini vijana japo kasajiliwa na Wamiliki na siku zinavyozidi TT anadizi kupoteza dress room na huku akiendelea kupata matokeo mabaya.Baada ya Wamiliki kuona sera yao ya kutengeneza kikosi kizuri chenye mkusanyiko wa vijana na wakongwe hawaoni ikifanyika chini ya TT na mambo mengine niliyotaja ndio wakaona muda sasa wakufukuza
 
Sioni Potter akibeba kikombe chochote THE BLUES kabla ya kufukuzwa

Sioni Pochetino akibeba kikombe chochote THE BLUES kabla ya kufukuzwa

Ila namuona Zidane akibeba kikombe ndani ya kwa msimu mmoja tuu kabla ya kufukuzwa.
Kwa msim 1 huenda asilete ila kwa misim 2-3 atakuwa ashaleta,

Shida ni dressing room kama ataweza idhibiti au akapata support ya wamiliki anaweza tupa mafanikio
 
Saint Anne Mashabiki wenzangu wengi wa Chelsea hakuna wanalojua kuhusu mpira wao wanataka ushindi tu. Mpira ni mbinu ukizidiwa unapigwa kweli kweli kama mlivyopigwa jana na Napoli[emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…