Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Graham Potter ni kocha mzuri ila kwa mentality ya Chelsea atakuja kuonekana kocha mbovu na atatimuliwa ndani ya muda mfupi. Niliwahi kusema humuhumu hasa kile kipindi cha Sarriball hatutakuja kuwa na consistence nzuri kama hatutaacha utaratibu wa kuwapa pressure makocha. Tuna employ makocha wazuri kama Sarri na Tuchel ila nao wanafall kwenye ile pressure ya kutaka kuprove haraka ili ajenge CV yake mapema kabla ya kutimuliwa. TT na Sarri wote wametupa European Trophy wameondoka na CV zao ila ni Chelsea ndio imebaki ina struggle kwa kutokua na muendelezo unaoelewekaGraham Potter ni kocha wa ajabu sana, wachezaji wa chini kabisa lakini ana matokeo mazuri kuliko Man U, Chelsea wenye wachezaji wa bei mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi chuki kwa TT zilipofika hapana aseehPia TUCHEL alishauri madaktari wamkate Lukaku mguu baada ya kuumia.
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi chuki kwa TT zilipofika hapana aseeh
Kukatwa mguu? [emoji1787]
Huyo Lukaku asirudi kabisa yale maneno alotamka mwaka jana hakutufikiria mashabiki japo sababu ilikua ni TTInasemekana pia msimamo wa Lukaku unaweza kubadilika baada ya TT kufukuzwa
Tusubiri tuone
Klopp kala nne uko ..Mimi naona timu ilifanya haraka sana kumtimua TT
Fact,Graham Potter ni kocha mzuri ila kwa mentality ya Chelsea atakuja kuonekana kocha mbovu na atatimuliwa ndani ya muda mfupi. Niliwahi kusema humuhumu hasa kile kipindi cha Sarriball hatutakuja kuwa na consistence nzuri kama hatutaacha utaratibu wa kuwapa pressure makocha. Tuna employ makocha wazuri kama Sarri na Tuchel ila nao wanafall kwenye ile pressure ya kutaka kuprove haraka ili ajenge CV yake mapema kabla ya kutimuliwa. TT na Sarri wote wametupa European Trophy wameondoka na CV zao ila ni Chelsea ndio imebaki ina struggle kwa kutokua na muendelezo unaoeleweka
Binafsi TT alipofikia sikuona kama ana haja ya kuendelea kuwepo Chelsea. Kilichonishangaza kwa TT mpira na zile tactics alizokua anatumia sasa hiv hazipo tena hata kama tumepoteza wachezaji ila nilichoona TT alipoteza nguvu yake dressing room ndio maana tukawa tunacheza vile.
Sasa hivi zinazuka tetesi za Graham Potter inanikumbusha enzi za David Moyes na Everton yake mpaka kwenda Man Utd na mpaka kilichotokea kiukweli sitegemei kuona tofauti yoyote hasa kwa nature ya ushabiki tulionao
Watu wanashindwa elewa hii kitu, kuna vitu nje ya matokeo ndio vimemuondoa tuchel,Tuchel hajafutwa kazi sababu ya matokeo mabovu anayo pata ama kipigo cha GNK Dinamo. Fuatilia mambo ujue, usiwe mzembe kiasi hicho.
Tatizo mnakariri Makocha wawe na experience km wachezaji...kocha ukiwa na attributes za ukocha good leadership, strategies nzuri n tactics nzuri ataflourish Tu...na pia huyu potter Mbona wakati yupo n Brighton ameshawasumbua Makocha wakubwa Tu tena akiwa n wachezaji wake WA midtable kashawachapa liver anfield, nyumbu msimu uliopita alisulubiwa 4 n kaanza msimu huu kamchapa ten hag , arsenal ya arterta ilishapigwa nje ndani, kaisumbua Chelsea ya Tuchel Sana, maswala ya experience ye sio Mchezaji ....kitakachomsumbua Labda n pressure from medias n mashabiki n tofauti na ya kule alipokuwa Brighton ....NI kocha mzuri Sana waingereza walimpigia chapuo kuchukua nafasi ya Gareth Southgate pale England national teamChukueni makocha wenye CV ya vikombe , sio mnaokota okota tuu sjui Graham ,hv kweli huyo kocha mnaempigia chapuo anaweza kuweka ushindani Kwa experienced managers kama pep, konte , klop , na Yule wa man u, hata top 4 , kama ni hvyo hata top4 Nina was was
Nieleweshe mkuu sababu hasa ni niniTuchel hajafutwa kazi sababu ya matokeo mabovu anayo pata ama kipigo cha GNK Dinamo. Fuatilia mambo ujue, usiwe mzembe kiasi hicho.
TT hakutimuliwa kwa kula 1Klopp kala nne uko ..Mimi naona timu ilifanya haraka sana kumtimua TT
Nadhani hiyo point tatu ndiyo ya muhimu na yenye mashiko.TT hakutimuliwa kwa kula 1
Akimaliza kwa staff atahamia kwa wachezaji wale wote waliosajiliwa enzi za Abramovich wataondolewa sio kwa sababu ni wabaya au Abramovic alikuwa mbaya ila ni taratibu tu ya new ownership kutengeneza new management na new team itakayokuwa rahisi kuipliment maono mapya ya team
- Kaanza ligi vibaya
- Anamaghusiano mabaya na baadhi ya wachezaji dressing room
- Lakini zaidi, Boehly na wenzake walipanga tu kuondoa masalia ya Abramovich pale darajani,
Mtakatifu upo?Nadhani hiyo point tatu ndiyo ya muhimu na yenye mashiko.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nipo Mkuu napunguza stress kwenye mijadala ya Chelsea.Mtakatifu upo?
Pamoja na kwamba unayosema ni kweli mtupu ila kumbuka pia kuwa ubadilihsaji wa makocha ndio unatupa kutamba mitaani kwa makombe tunayobeba. Kuna timu zinakaa na kocha hadi inabandikwa tags kwamba wao hawanaga plan za kubeba makombe. Hiyo hiyo presure atakuja nayo Graham Potter usishangae akabeba EPL au UCLGraham Potter ni kocha mzuri ila kwa mentality ya Chelsea atakuja kuonekana kocha mbovu na atatimuliwa ndani ya muda mfupi. Niliwahi kusema humuhumu hasa kile kipindi cha Sarriball hatutakuja kuwa na consistence nzuri kama hatutaacha utaratibu wa kuwapa pressure makocha. Tuna employ makocha wazuri kama Sarri na Tuchel ila nao wanafall kwenye ile pressure ya kutaka kuprove haraka ili ajenge CV yake mapema kabla ya kutimuliwa. TT na Sarri wote wametupa European Trophy wameondoka na CV zao ila ni Chelsea ndio imebaki ina struggle kwa kutokua na muendelezo unaoeleweka
Binafsi TT alipofikia sikuona kama ana haja ya kuendelea kuwepo Chelsea. Kilichonishangaza kwa TT mpira na zile tactics alizokua anatumia sasa hiv hazipo tena hata kama tumepoteza wachezaji ila nilichoona TT alipoteza nguvu yake dressing room ndio maana tukawa tunacheza vile.
Sasa hivi zinazuka tetesi za Graham Potter inanikumbusha enzi za David Moyes na Everton yake mpaka kwenda Man Utd na mpaka kilichotokea kiukweli sitegemei kuona tofauti yoyote hasa kwa nature ya ushabiki tulionao
Naona tu. Ngoja tusubiri kuona watakavyo-implement mipango wanayoianzishaNipo Mkuu napunguza stress kwenye mijadala ya Chelsea.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Na hiyo ya tatu ilisababishwa na hizo mbili za kwanza, walikuwa wanatafuta sababu ya kumuondoaNadhani hiyo point tatu ndiyo ya muhimu na yenye mashiko.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hizo ni porojo za ushabiki, njia ya kurelease stress[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi chuki kwa TT zilipofika hapana aseeh
Kukatwa mguu? [emoji1787]
Lakini wamuondoa ghafla mno.Na hiyo ya tatu ilisababishwa na hizo mbili za kwanza, walikuwa wanatafuta sababu ya kumuondoa