Kuna mafala uwa wanakuandama leo hawatatokea kwenye group la wanaumeSisi ndio Chelsea ..Japo tumeshinda Ila TT bado ana kazi kubwa ya kufanya.




Tatizo la Chelsea Chilwell ametuonyesha wazi, hakuna dynamicity wala kudhubutu, mipasi ya sideways, backward passes hadi dk zinapotea hadi mpinzani wako anakusoma udhaifu wako. Chelsea wanaremba mpira hadi ikafika 70% possesion halafu Westham wanatusanifu tu. Kona hadi kumi tunasanifiwa tu, wao wamepata moja wakaforce hadi ya tatu ikaleta goli. TT abadili hili, sio wachezaji ndio wa kubadilisha, kocha atoe maagizo, tucheze kandanda la kuthubutu, Auba asipopelekewa mipira hatafungaKwa jinsi tulivyocheza first half, Pale hata Auba atoboi.
Next ni dhid ya Dynamo Zagreb.
Jamaa hatakuwepo huku, nahisi kaweka hema kule Livakuku na baadaye atahamia Arsenali au ManureKuna mafala uwa wanakuandama leo hawatatokea kwenye group la wanaume
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Last season tulikuwa vizuri kwenye set pieces ila msim huu tunapata kona nyingi ila tunashindwa kutumia.Tatizo la Chelsea Chilwell ametuonyesha wazi, hakuna dynamicity wala kudhubutu, miapsi ya sideways, back passes hadi dk zinapotea hadi mpinzani wako anakusoma udhaifu wako. Chelsea wanaremba mpira hadi ikafika 70% possesion halafu Westham wanatusanifu tu. Kona hadi kumi tunasanifiwa tu, wao wamepata moja wakaforce hadi ya tatu ikaleta goli. TT abadili hili, sio wachezaji ndio wa kubadilisha, kopcha atoe maagizo, tucheze kandanda la kuthubutu, Auba asipopelekewa mipira hatafunga
Dah nawakeraga kinoma ..siunajua Mimi Ni mzee wa kukera ..Sasa Leo naenda wakera kinoma adi wajute kunijua 😂😂😂😂🤣🤣🤣Kuna mafala uwa wanakuandama leo hawatatokea kwenye group la wanaume
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Broja mzuri basi tu kocha anashindwa kumpa nafasi ilipaswa aanze leoLast season tulikuwa vizuri kwenye set pieces ila msim huu tunapata kona nyingi ila tunashindwa kutumia.
Broja aendelee kupata nafasi, kwa dakika alizocheza kuna kitu anaoffer,
Nyie kenge mnavyosema leo ndio mnaanza ligi, kwani mwanzo mlikua wapi?

Leo ilikua almanusra.Dah nawakeraga kinoma ..siunajua Mimi Ni mzee wa kukera ..Sasa Leo naenda wakera kinoma adi wajute kunijua![]()
Kesho mchizi boti fanya kweli piga zile mbuzi arse8.😂😀😀Leo ilikua almanusra.
Nyie cheltako yani sioni hata kama mna dalili za kupata goal hapa mpo mpo.

