Mpo nafasi ya 10 halafu mnacheza mpira wa kihuni? Redcard tayari, ngoja akili iwakae sawa
Timu yako ipate red card uone kama hamjashonwa nne bila.
Nukuu nilivyosema kabla ya mechiHata tuwe wazemembe kiasi gani, Leicester city hawana timu ya kutunyima point
Waambie masharti ya group, wakija wataje majina, umri na timu wanayoshabikia. wengine hawastahili kuja humu kabisaUnashabikia timu gani mzee hiki siyo kigenge cha wahuni.
Timu yako ikipata redi card hata dakika ya 60 tu, utashonwa 5.
Lakini siyo kwa chelsea.
Nyie Chelshit mmeona wenzenu tunavyokinukisha???
Siyo nyie tubao tuwili tu akina Ollachuga.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nyie Chelshit mmeona wenzenu tunavyokinukisha???
Siyo nyie tubao tuwili tu akina Ollachuga.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Oyaaa sisi ndio Chelsea ..igaa mambwa aoooo
Unaongelea zama za mawe??Hata sisi msimu ulioshia tulimzaba mtu goli tisa. Naamini huna kumbukumbu[emoji23][emoji23]
Ndio tushamaliza kwa bao 9 kwa nunge.Pata red card na hicho kitimu chako cha mchongo uone kama hujashonwa nne bila.
Mikono yote waliiweka pale kati wapo juu juuMashabiki wa Chelsea wameangalia mpira wameshikilia koridani maana hali ilikuwa Tete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timu kubwa ya Mitrovic au?Shinda game zako kwanza kabla hujaleta maneno kwa timu kubwa kama arsenal.
Huwa nasemq hichi kitu, ili turudi kwenye back 4,tunahitaj dm mwnye uwezo.Chelsea bado haiko ready kucheza back 4 hata baada ya Fofana kusajiliwa kwa sababu ya kukosekana na DM wazuri pale katikati. Ili back 4 iwe protected vizuri either tuwe na DM wawili au mmoja pale katikati ambao wana uwezo wa kukata umeme kwa sababu backline ya 4 inakuwa na CB wawili tu badala ya watatu
SO sisi Chelsea tuendelee na ulinzi shirikishi wa backline ya 5
--------- Kovacic ---------- Kante --------------------
Cucurella ---- Koulibally --- Silva---- Fofana ------ James
----------------------- Mendy -------------------------
Jamaa anaboa ile mbaya sijui kampa nini TTKai ni wakupiga shaba
Hiyo ndio inanishangaza zaidi hata wachezaji wengine ambao wapo benchi wanajiuliza as if ni RonaldoHalafu hata akicheza vibaya kocha hamtoi kabisa