Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hujambo Baba!? Pole sana ukimuona na yule Invisible na wapenzi wote wa Chelsea wape pole zetu nyingi sana. Mwambie habari ndiyo hiyo...Any given Saturday/Sunday kigogo wa EPL anaweza kuadhiriwa na yeyote yule bila kujali anashika nafasi ya ngapi kwenye EPL.

No excuse. Tumecheza vibaya sana leo, tulistahili kufungwa.
Wachezaji karibu wote walikuwa kwenye kiwango cha chini sana. Tumepoteza nafasi muhimu ya kupanda juu ya msimamo. Ligi inaendelea lakini
Come on Blues, KTBFFH
 
Last edited by a moderator:
Ooops,au SAS combination ilikuwepo Newcastle leo?huu ndo ujinga wa kuwa busy kufikiria mechi isiyowahusu i.e Arsenal vs Liverpool kuliko inayowakibili ninyi,Newcastle kicked the dust up!....Na kuhusu capital one,nina uhakika wa 200%?SOUTHAMPTON a.k.a the saints will edge you out!
 
LOL!!!! @ #Mburukenge hahahahaha... Wacha1 where are you Mkuu!? Picha please!!!!
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na wasiwasi Mkuu tunapiga mtu 2-0 kunyamazisha vidomo domo vyote maana hata watu ambao sijawaona kipande hii juzi niliwaona nikabaki kushangaa tu.

Nasubiri game yetu ndo nirudi hapa ... Hahaha maana match za Leo utata mtupu
 
Usiwe na wasiwasi Mkuu tunapiga mtu 2-0 kunyamazisha vidomo domo vyote maana hata watu ambao sijawaona kipande hii juzi niliwaona nikabaki kushangaa tu.




Hongera kwa ushindi mkuu naona mambo yenu mazuri.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Newcastle-United-v-Chelse-001.jpg

Newcastle v Chelsea The teams observe a minute's silence for their match the day before Remembrance Day">

Premier-League-Clockwatch-002.jpg

The managers greet each other before kick-off. Hopefully this time José Mourinho won't end up in the stands (whether by his own volition or the referee's)

Premier-League-Clockwatch-004.jpg


Premier-League-Clockwatch-005.jpg

Loïc Rémy makes it 2-0 to Newcastle with the clock running down. Vurnon Anita crossed it into the box, and Rémy lashed it home inside the left-hand post

Newcastle-United-v-Chelse-006.jpg

Chelsea leave the field as Newcastle take the three points. An evenly matched first half gave way to a dominating performance from Newcastle as the match ends Newcastle 2-0 Chelsea.....Khekheeeeeeeee...
 
It was horrible to watch second hal! Leo tumepigwa bao hands down, out played, out smarted and badala ya kumuondoa Hazard na Lamps kumleta Willian na Eto, kaondoa Torres na Mata!
 
Hahahahahahaha Mkuu Mentor hivi zile "POLENI IN ADVANCE" ni za kule ulikoziweka au ni huku?? Tunaomba utujulishe Tafadhari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom