Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wamebebwa Penalt sio Kabisa refa Akija kuona Ramires kajiangusha hajakatwa atarukia kusema katoa kwa Demba Ba ambayo pia hapo hapo sio Penalt demba Ba naye mabeki waliupata mpira bila kumfanyia foul. west brom wajilaumu wenyewe hawakuutuliza mpira walikuwa wanabutua Kama kuwarudishia Chelsea. Ndio football.
 
Referee kasawazisha katika dakika za majeruhi, hongera zenu kwa kujipatia point moja baada ya goli safi sana la refa.
 
Disgrace to football...if that could have been United, cunts would be talking like airheads...

Ooppss...I forgot...Chelsea is just a small club...small clubs don't make headlines...
 
The blues..........Hazard.........GOAL..... Cheza name vijana wa mourinho wewe, BETTER DRAW
 
The blues..........Hazard.........GOAL..... Cheza name vijana wa mourinho wewe, BETTER DRAW
mkuu ila tunashuka chini,Arsenal kama watashinda kesho watatuacha kwa points kama 7,dalili mbaya sana,
man city wakishinda watakuwa juu yetu, i think hata tottenham
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom