Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1381622_809713012402250_213126816_n.jpg



1425555_809625355744349_845642207_n.jpg
 
Kila mchezaji ni muhimu kwa Chelsea!
Bravo Jose Mourinho Bravo Chelsea!
 
Mentor,Peasant kwema humu? Naona NU inawaharibia siku Ahaaaa ahaaaaaa
Mlijua Capital One???
 
........🎶 wakati umewadia wa salaam za wagonjwa hosipitalini nyote tunawapa pole.....
King'asti, ninakupa pole.... Peasant ninakupa pole! 🎶


Heheheh!!!!
 
Last edited by a moderator:
........🎶 wakati umewadis wa salaam za wagonjwa hosipitalini nyote tunawapa pole.....
King'asti, ninakupa pole.... Peasant ninakupa pole! 🎶


Heheheh!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida yao...
wanakuwepo humu wakifunga tu... wakishalala huwaoni tena!
Sifa nzuri ya kuwa plastic fan... poleni
 
........kmyaaaaaaaaaaaaaa?!!!!....dddddaaaaddaadeki.....kinauma ee?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Khekheeeeeeeeee hamjamboni jamboni humu!? Invisible and Co hongereni kwa matokeo ya leo na kuweza kwenda kileleni :frusty::frusty::frusty:
 
Last edited by a moderator:
No excuse. Tumecheza vibaya sana leo, tulistahili kufungwa.
Wachezaji karibu wote walikuwa kwenye kiwango cha chini sana. Tumepoteza nafasi muhimu ya kupanda juu ya msimamo. Ligi inaendelea lakini
Come on Blues, KTBFFH
 
Salaaaaaaaaaaaaaaam aleykummmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm wenyewe humu ndani
 
Khekheeeeeeeeee hamjamboni jamboni humu!? Invisible and Co hongereni kwa matokeo ya leo na kuweza kwenda kileleni :frusty::frusty::frusty:



Kazi kwenu kupanua gap kama mtaweza.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom