Kwani wewe unavyocoment unajua hujui, sikuwahi kusema Conor Galagher ni beter than Mount ila niliweka equivalent. So Nyani haoni kwake nyuma anaona ya wenzake tu. So sad Mwamaleki. Hapa tunachambua soka sio lazima ukubaliane na maoni ya mwenzakoKuna mwana mmoja humu huwa anaamini anajua kila kitu. Anaitwa Lembu.
Alikua anapiga mayowe mengi sana kwamba Gallagher is better than Mount. Sijui anaangaliaga mpira akiwa amekunywa balimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sababu ni hiyo hiyoKwamba leo hii makocha ndio wenye shida??? Tuache utani mkuu,
Sarri, Lampard hawa wote wamestruggle kabla ya tuchel na kikosi hicho hicho.
Kikosi kimesajili na makocha wa 3 hata wewe leo hii ukienda kukifundisha utaperform few games then cycle inajirudia.
Sisi tumekuwa wakinani ambao hatutak mabadililo kuwa kikosi chetu kinashida na si kocha.
Angalia Psg n Dortmund wakat wa tuchel jins walivyokuwa wanacheza halaf angalia na sisi
Odoi hana shida, uwezo wake umefikia hapo bado anakua kisoka. Tatizo kubwa liko kwa Ziyech, amekuja Chelsea akitegemea atapewa nafasi kama kule Ajax. Alipokuta sivyo akaamua kujenga hiyo attitude mbovu, hivi karibuni akaongezeka na Werner, Pulisic naye ila kwa mahojiano na media hivi karibuni naona ameamua kupambania nafasi badala ya kulalamaNadhani pia man management yake inayo walakini. Japo hata wachezaji manunda wapo. Nimekuwa na mashaka sana na attitude ya baadhi ya wachezaji kama Ziyech, Odoi na hata Lukaku kabla hajaondoka.
Kwanini wewe hupendi? hakuna mtu asiyependa mapenzi duniani labda uwe na matatizo ya kiafya au kisakolojia.Hiki kikocha kinapenda mapenzi View attachment 2306913
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kama vile sioni wote wamechukuliwa. Nilitamani tumpate angalau LewandowskiNamba 9 gani yupo sokon wa uhakika tutakaekuwa nae kwa zaidi ya misim mi3
Jamani jamani huyu si ziyech mwenye misuli. Chelsea sijui tunakwama wapi.Kwenye 343 formation, kwenye final 3rd: kushoto Raheem, kati Harvetz na kulia Traore, Chelsea itatisha [emoji123]. Ngoja tuone kama atanunuliwa. View attachment 2310902
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani jamani huyu si ziyech mwenye misuli. Chelsea sijui tunakwama wapi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie kenge soka lilishawashinda tayari, enendeni mkaungane na OllaChuga Oc mkachambue maharage.Kwani wewe unavyocoment unajua hujui, sikuwahi kusema Conor Galagher ni beter than Mount ila niliweka equivalent. So Nyani haoni kwake nyuma anaona ya wenzake tu. So sad Mwamaleki. Hapa tunachambua soka sio lazima ukubaliane na maoni ya mwenzako
Brighton walivyo wajanja wanamtaka Colwil kama.part ya deal. Soon tutabadilishana dhahabu ya gram 500 kwa dhahabu ya gram 500 plus cash hapo ndio tutajua mmarekani hana plan sokoni ni kurukia rukia mamboNaona tuko kwenye mazungumzo ya kumsajil Marc Cucurella from Brighton,
Deal bado halijakubaliwa
Cucurella anaweza cheza kama Lb/Lwb/Lcb,
Hapa nahisi
Alonso n Emerson wanaondoka wote kwa pamoja
Huku kukiwa na ofa kutoka Fulham kwa ajili ya Malang Sarr
Sasa mkuu sisi na man u yako Nani mpira umemshinda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie kenge soka lilishawashinda tayari, enendeni mkaungane na OllaChuga Oc mkachambue maharage.
Alonso abakie na tumsajili huyo beki wa Brighton kwasababu Benchilwell anaonekana fitness yake haipo vizuri mpaka aje aclick itachukua mudaNaona tuko kwenye mazungumzo ya kumsajil Marc Cucurella from Brighton,
Deal bado halijakubaliwa
Cucurella anaweza cheza kama Lb/Lwb/Lcb,
Hapa nahisi
Alonso n Emerson wanaondoka wote kwa pamoja
Huku kukiwa na ofa kutoka Fulham kwa ajili ya Malang Sarr
Huyu jamaa ana mapenzi na City, City wakiamua kutufanya kama Barca tutaaibika tenaNaona tuko kwenye mazungumzo ya kumsajil Marc Cucurella from Brighton,
Deal bado halijakubaliwa
Cucurella anaweza cheza kama Lb/Lwb/Lcb,
Hapa nahisi
Alonso n Emerson wanaondoka wote kwa pamoja
Huku kukiwa na ofa kutoka Fulham kwa ajili ya Malang Sarr
Ila huyu hatakiwi Chelsea, sehemu yenye shida ni RBAlonso abakie na tumsajili huyo beki wa Brighton kwasababu Benchilwell anaonekana fitness yake haipo vizuri mpaka aje aclick itachukua muda
Issue ya Sarr nahisi tukipata beki wa kati 1 or 2 naona kabisa akiondoka, kinachofanya tusimuuze now ni kuwa na upungufu wa mabek wa katiChelsea have reportedly blocked a summer move for defender Malang Sarr to Fulham ahead of the upcoming season.