juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Combination ya Havertz, Mount n Sterling jana ilikuwa iko poa, Jins wanavyolink huku Sterling na Kai wakibadilishana nafasi,Mimi jana niliona waliokuwa [emoji91]ni Koulibaly, Kante, Jorginho na Mount. Wengine wote walikuwa wastani au chini ya wastani. Lakini mikimbio ya Raheem ilionesha atakuwa mtu wa namna gani kadiri msimu unavyosonga.
Werner kuna uwezekano mkubwa sana akarudi Leipzig kwa mkopo msimu ujao.
Nice to see broja in first eleven it is time to show his worthXI vs Udinesse (Training match)
Kepa
Chalobah Ampadu Sar
RlC Kovacic Galagher Chilwell
Ziyech Broja Pulisic
Sub.
Betinell, Emerson,Kenedy, Gilmour,Vale,CHO
Game inaanza saa 6 mchana, itakuwa live kupitia app ya chelsea
Ile link up play kati ya Mount, Raheem na Kai ilikuwa nzuri sana. Walikuwa kama mbwamwitu pale mbele. Switching kati yao ilikuwa amazing. Goli la Mount utadhani ndio alikuwa CF. They could form a marauding team ukipenda unawaita MRK [emoji16][emoji16]Combination ya Havertz, Mount n Sterling jana ilikuwa iko poa, Jins wanavyolink huku Sterling na Kai wakibadilishana nafasi,
Jana jorginho kacheza poa sana,more progressiv passes,
Mendy now anafanya upuuzi magoal anayofungwa
Washa VPN, then chagua country either uk or netherland na nchi zingenzoMechi imeshaanza? Kwenye app ya 5th Stand siioni ingawa wanasema live..
Udinise sio kipimo halisi, Arsenal ndio kipimo halisi au timu za EPL za top of the tableHONGERENI KWA USHINDI THE BLUES.
Wachezaji wanazidi kuimarika.
Sisi kukimbiwa na wachezaji haiifanyi arsenyeto kuwa Elite Football Club.
I gree with youArsenal sio kipimo halisi kwetu, level yao ni kugombania kumaliza top 4. Hutuwezi kutumia nyundo kuua mbu.
Kipimo chetu ni CITY, Liver, Madrid, Barcelona na Bayern tukikutana nao ndio tutajua mustakabali wa kikosi chetu kubeba EPL na UCL msimu ujao.
Asante. Niliweza kuangalia kupitia The 5th Stand app.Washa VPN, then chagua country either uk or netherland na nchi zingenzo
Mimi nilikosa kipindi cha kwanza, nimeangalia kipindi cha pili. Broja amechezaje? Any chance anaweza kubaki? Nilimuona Gilmour kipindi cha pili, dk 15 kabla ya mpira kwisha. He looked solid on the ball, good passing but relatively low key....hajachangamka.Ft. UDINESE 0-2 CHELSEA
GOALS
LOFTUS-CHEEK
ZIYECH (PENALT)
Ukweli mkuu utatuweka huru, Msimu huu hatutafika huko kwa Liverpool na City, ukweli utatupa afya njema. Msimu huu kipimo chetu ni akina Arteta, Ten Hag, Moyes, Conte and other mid-table teams. Hakuna usajili wowote ulkiofanyika, wachezaji wengine kunung;unikaArsenal sio kipimo halisi kwetu, level yao ni kugombania kumaliza top 4. Hutuwezi kutumia nyundo kuua mbu.
Kipimo chetu ni CITY, Liver, Madrid, Barcelona na Bayern tukikutana nao ndio tutajua mustakabali wa kikosi chetu kubeba EPL na UCL msimu ujao.
Alicheza vizur if angekuwa makini angeweza toka na goal zaidi ya 1, hopeful atabaki.Mimi nilikosa kipindi cha kwanza, nimeangalia kipindi cha pili. Broja amechezaje? Any chance anaweza kubaki? Nilimuona Gilmour kipindi cha pili, dk 15 kabla ya mpira kwisha. He looked solid on the ball, good passing but relatively low key....hajachangamka.
Wewe hupendi!?Hiki kikocha kinapenda mapenzi View attachment 2306913
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hata yule mkongwe wa mkopo (Kenedy) naona naye amejituma, tatizo isije kuwa ni preseason tu ili waonekane baada ya hapo wanakata fuse kabisa.Alicheza vizur if angekuwa makini angeweza toka na goal zaidi ya 1, hopeful atabaki.
Nimevutiwa sana na Ampadu kwenye hii Pre season, anatumai abaki kama squad player atatusaidia kwenye carabao,+ fa n kadri game zitakvyokuwa nyingi
Uzuri sasa hiv 5 sub zinaruhusiwa