hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,669
- 27,559
Pau mzuri Sana ,Kounde Yupo aggressive Sana,Na wameshamtayarisha pau tores kama backup nasikia tores ni mzuri hata kuliko kounde.
Pau mzuri Sana ,Kounde Yupo aggressive Sana,Na wameshamtayarisha pau tores kama backup nasikia tores ni mzuri hata kuliko kounde.
Don't judge Marina from one window. Hiyo window uliyotaja haikuwa Rebuilding windowMkuu hapo kwa marina sio yeye aliyespend dirisha lote la msim uliopita kwa Lukaku
Yani mpk deal la saul likawa nisiku ya mwisho tena sekunde za mwisho kabisa, huku ukiwa unategemea mchezaj flan asain kwanza atl madrid we ndio umpate saul tena siku ya deadline day
Na ana red za kutoshaPau mzuri Sana ,Kounde Yupo aggressive Sana,
Kwa miaka mitatu ya Vilareal, Pau kailetea mafanikio makubwa timu ikiwemo Europa 2021 na Nusu fainali za UEFA mwaka janaNa wameshamtayarisha pau tores kama backup nasikia tores ni mzuri hata kuliko kounde.
Tusipokuwa makini msimu huu unaoanza, tutagombania nafasi ya 5 na Man U. Arsenal na Spurs are miles ahead of us. Ngoja tuone mechi ya Jumapili na Arsenal inakuwaje na mshambuliaji wetu Batman.Wanaume sisi ni box to box performers (single task performers)
Wanawake ni suppergate performers (multitask performers)
Hii ndio tofauti ya Marina na Boehly
Boehly anafanya usajili mmoja ukiisha unafuata mwingine -Too slow
Marina alikuwa akipeleka sajili zote zinazotakiwa kwa pamoja
Tungekuwa na Marina hapa biashara ingeisha asubuhi
Tutaanza ligi tukiwa tumepigwa bao na Arsenal na Spurs
Uko sahihi kabisa kiongozi. Mahali pengi sana anakalishwa na mabeki wa Chelsea wa sasa walioondoka. Angalia takwimu hapa chini:Tatizo la Kimpembe, uzuri wake mkubwa uko kwenye passing tu,maeneo mengine yuko average compared to other great current CBs
Sometym statistics sio za kuzitegemea kujua uwezo w mchezaji mana huyo Sar namwona w hovyo uwanzani lakin stastics zake kuwapita pita.Uko sahihi kabisa kiongozi. Mahali pengi sana anakalishwa na mabeki wa Chelsea wa sasa walioondoka. Angalia takwimu hapa chini:View attachment 2299434View attachment 2299435View attachment 2299437View attachment 2299438
Upo sahihi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume sisi ni box to box performers (single task performers)
Wanawake ni suppergate performers (multitask performers)
Hii ndio tofauti ya Marina na Boehly
Boehly anafanya usajili mmoja ukiisha unafuata mwingine -Too slow
Marina alikuwa akipeleka sajili zote zinazotakiwa kwa pamoja
Tungekuwa na Marina hapa biashara ingeisha asubuhi
Tutaanza ligi tukiwa tumepigwa bao na Arsenal na Spurs
Marina anamakosa yake tu mengi, na yeye ndio katuweka kwenye hii hali ya sasa kutaka kusajil 2CBDon't judge Marina from one window. Hiyo window uliyotaja haikuwa Rebuilding window
This is a rebuilding window tulitakiwa tuwe fast na precise
Napingana na wewe kwa points hiziSometym statistics sio za kuzitegemea kujua uwezo w mchezaji mana huyo Sar namwona w hovyo uwanzani lakin stastics zake kuwapita pita.
Mkurugenzi wa ufundi nahisi atakuwa appointed baada ya ligi kuanza,Tupate Mkurugenzi wa michezo atusajilie mashine za kueleweka.
Miaka ya hivi karibuni tumefanya sajili nyingi za ovyo ovyo.
Turudi kwenye ule utamaduni wetu kuwa na wachezaji wenye nguvu, kasi, ubunifu/uwezo mkubwa.
Heshima irudi pale Darajani, lango lifungwe kwa walanguzi kuchukua point kirahisi.
Winger mzuri sana wa kuwagawa mabeki na kutengeneza nafasi za kufunga kwa strikers. One on one yuko vizuri. Ukiwa na Sterling kushoto, yeye kulia, lazima mabeki wagawanyike.Taarifa za Athletic zinasema Chelsea wameulizia kama Allan Saint-Maximin atauzwa
View attachment 2299994
Je, Newcastle wako tayari kumuachia talisman wao?Winger mzuri sana wa kuwagawa mabeki na kutengeneza nafasi za kufunga kwa strikers. One on one yuko vizuri. Ukiwa na Sterling kushoto, yeye kulia, lazima mabeki wagawanyike.
Changamoto ni kwamba msimu huu media zimejidhihirisha zinasemea upande wao. haijulikani kama hayo yaliyoandikwa ni kweli. Kounde sio muongeaji kama Raphinha. So labda tu ni kambi ya Barcelona wameamua kutunga na kulinganisha na matukio kwa vile Kounde karudi preseason na wenzake. OR may be waliolazimisha ni Sevilla wakitaka dau kubwa kutoka kwa Barcelona ndio wakamlazimisha asubiri? mwanzoni Kounde alishasema yuko tayri kwenda popote kati ya Chelsea na BarcaSwali Kounde anaitaka THE BLUES?
Au tunalazimisha vitu ambavyo havipo.
Haiwezekani offer imekubaliwa na Sevilla hapo hapo wanasubiria kauli ya mwisho ya Barcelona.
Yale ya Raphina yanaweza kujirudia tena
Na kwanini tunalazimisha kusajili wachezaji ambao hawatutaki?