Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wanawake wapata jembe

Kadeisha Buchanan helped the French club win five UEFA Women's Champions League trophies, five Division 1 Féminine titles and three Coupe de France honours. The 26-year-old centre-back had nine goals in 130 appearances for Lyon.
"I am coming to Chelsea with the same ambition I always had - win trophies and become the best in the world," said Buchanan, three times Canada's player of the year. "The club has everything in order for us to compete in every competition and it's time to bring a Champions League trophy to London."
 
Leta stats za Dembe. Walewale sikusema nani lamzidi nani do not misintepret my comment
umebadilika tena Mzee si umesema huoni dembele akiwazidi hao uliowataja kwamba pulisic, Werner, sijui n odoi... Stats za dembele zimeshatumwa na mdau hapo
 
Chukua stats za misimu mitatu
Wale wale sioni ujasiri wa kusema huyu bora kuliko yule
Tusijitoe ufahamu
Kumchukua Dembele ni gamble kama tulivyofanya kwa werner na Ziyech na wengineo. We are repeating the same misakes. Badala ya kwenda kuwachukua world class player tunaenda kuchukua mifupa ilishindikana mancity, barcelona nk
Angalia na bajeti iliyopo Mzee achana na world-class sahv mnawasajili Kwa pesa nyingi cjui kina Nunez Afu wanakuja kuflop mnaanza upya...kwasahv lzm itumike asilimia kubwa ya fedha za usajili kucover nafasi za mabeki tuliowapoteza...lkn pia maybe na backups z wingbacks na central midfielders... Dili la kumpata dembele tena for free naona sio mbaya...huku kwingine fedha zinazopatikana maybe baada ya mauzo ya kina ziyech n Werner ambao inasemekana wamewekwa sokoni zitatumika kutafuta attackers...we huyo sterling unaomsema ameshindikana timu nyingine Labda nikuulize je unao wingers wenye #s z stats nzuri km yeye?.. huyu sterling kuna msimu alimaliza pale city as a top scorer wao akiwa na goli 20 ...wewe attackers wako kina Werner wanamaliza msimu na goli 5 cjui 6...anyway pengine akiwa city alikuwa amezungukwa na wachezaji wazuri lkn Kwa yeye ambaye n premier League proven sio mbaya tukianza naye ktk project ya timu mpya na tukiangalia namna tunavyoweza kucover nafsi za kuwafikia liver na city .......
 
Yaani Werner na Pulisic wanamzidi uwezo Dembele? Nadhani unatania
Changamoto ya Dembele yeye ni winga na sisi tunawatumia wingbacks zaidi
Pili tukimchukus dembele lazima tumkose conor na pulusic au werner
Sioni Dembele akiwazidi hao niliowataja
 
Silva ameshakuwa Chelsea agent, anakazana kumshawishi Kimpembe aje Chelsea
Let wait and see bado dirisha hadi Septemba
 
Angalia na bajeti iliyopo Mzee achana na world-class sahv mnawasajili Kwa pesa nyingi cjui kina Nunez Afu wanakuja kuflop mnaanza upya...kwasahv lzm itumike asilimia kubwa ya fedha za usajili kucover nafasi za mabeki tuliowapoteza...lkn pia maybe na backups z wingbacks na central midfielders... Dili la kumpata dembele tena for free naona sio mbaya...huku kwingine fedha zinazopatikana maybe baada ya mauzo ya kina ziyech n Werner ambao inasemekana wamewekwa sokoni zitatumika kutafuta attackers...we huyo sterling unaomsema ameshindikana timu nyingine Labda nikuulize je unao wingers wenye #s z stats nzuri km yeye?.. huyu sterling kuna msimu alimaliza pale city as a top scorer wao akiwa na goli 20 ...wewe attackers wako kina Werner wanamaliza msimu na goli 5 cjui 6...anyway pengine akiwa city alikuwa amezungukwa na wachezaji wazuri lkn Kwa yeye ambaye n premier League proven sio mbaya tukianza naye ktk project ya timu mpya na tukiangalia namna tunavyoweza kucover nafsi za kuwafikia liver na city .......
Kwani world class players wanauzwa bei gani mkubwa?
 
Richardson ni Mop ulaya dogo anatabia za hovyo sana kama sio professional player
Richardson hakuna extra value atakayoileta Chelsea. Atakuja kufanana na hawa tulio nao. Labda tumbahatishe tu. Labda kwenye mfumo mwingine atakomaa zaidi
 
Liverpool wao wanafanya discent business asubuhi na mapema ya akina Darwin Nunez sisi tunang'ang'ana na malapulapu uaje kivaa jezi bure na mshahara wa bure kama walivyofanya akina Luka na Tim
 
Richardson hakuna extra value atakayoileta Chelsea. Atakuja kufanana na hawa tulio nao. Labda tumbahatishe tu. Labda kwenye mfumo mwingine atakomaa zaidi
Duuh.. hata Sadio Mane alichukuliwa poa hivi hivi hawakuamini kama anaweza kuwa na form aliyonayo sasa.
 
Embu tupe list ya world class player walio sokoni chelsea inaweza kuwapata maana hawa wachezaji tuliokuwa nao ambao mnaona hawafai tukiwauza kwengine basi ni mwiba kwetu
Sikuamini yale mauzo ya akina Tomori kuwapeleka kwa mkopo akina Gilmour et al. Siamini kama tuna timu mbovu. Tuna wachezaji wazuri tu. Tunahitaji ku cover some gaps ili kuwawezesha hawa tulio nao waweze kuwika. Andrey Shevchenko aliwika Italy kwa sababu alikuwa na watu kama Andrea Pirlo. Akaja Chelsea akakosa watu kama Pirlo akaonekana ka flop.

Hawa wachezaji ambao leo wanapigwa madongo wanaweza kuwashangaza wengi msimu ujao kama gaps tulizo nazo zitakuwa covered.

Tusubiri tuone!
 
Duuh.. hata Sadio Mane alichukuliwa poa hivi hivi hawakuamini kama anaweza kuwa na form aliyonayo sasa.
Mkuu tatizo Chelsea hawataki kuaddress primary problem. Werner, Lukaku, Havertz hata Tammy aliyeondoka hawana matatizo makubwa sana. Tuna issue pale kiungoni na wide wingers. Mtango kafafanua vizuri. Ondoa werner leta Richardson haitatatua tatizo la msingi. Tumsajili mpishi wa magoli. Sio bishoo kama akina jorg. Kovacic akimpata mkali zaidi yake ili yeye apate mapumziko ya kutosha utamuona ukali wa Lukaku au Havertz au Werner. Lukaku kipekee yuko very dissapointed na upumbavu wa chelsea kwenye build-up. Nafasi ya kufunga ipo mchezaji linajiamulia kipaiza tu na hata hajali. Tafuta clips nyingi zipo na zingine unazifahamu. Tufumue pale kwenye kiungo. Winga-backs au wingers wawe bussy na wafungaji kule mbele wawe bussy na mabeki wa opponents uone kama Chelsea haijabeba makombe mpaka tukinai
 
Official Announcement: Tchouaméni

11/06/2022

Real Madrid C. F. and AS Monaco have reached an agreement over the transfer of Aurélien Tchouaméni, who joins the club on a six-year deal.

Tchouaméni will be unveiled on Tuesday 14 June at Real Madrid City at 12:00 (CET) following his medical
 
With Tchouameni, Eduardo Camavinga and Fede Valverde, Real Madrid believe they have a succession plan in place for their midfield of Toni Kroos, Casemiro, and Luka Modric, who are still going to remain important in the team.

Hii strategy ndio inakosekana Chelsea
Hatukua na plan ya mrithi wa fab na sasa kante tutaendelea kuwalaimu wafungaji bure tu
 
Happy birthday bro Kai
 
Chelsea have confirmed Andreas Christensen, Danny Drinkwater, Jake Clarke-Salter and Charly Musonda will all leave the club this summer at the end of their contracts.
 
Chukuen nkuku achana na hizo takataka dembele, sijui rerchardson. Richardson mchoyo hajui kucheza na wenzie anachojua kupga mashut tu golini.

Tunahitaji wachezaji aina y Hary ken, No.9 anashuka kuja kuchukua mipira. Nkuku naona ana hizo sifa.

Sio wachezaji aina ya Dembele. Tunao wachezaji wazur tu wanaofit hiyo position na wazur kuliko huyo dembele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom