Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kinachofanya Chelsea aendelee kuwepo Top 4 ni ubovu wa ARSENAL, MAN U NA TOTTENHAM
Ukisema hivyo utaonekana sio shabikli
February hadi leo tumecheza mechi 7, fungwa 3 droo 2 na kushinda 2
Katika top 6 ya sasa ni Manure tu ndio vibonde wetu kwa stats
 
Nitamshangaa Manure akileta mbolea yake huku na kule Falmer mnafanywa
 
Hayo ya baadae sisi hayatuhusu. Tutaangalia ya wakati huu.
 
Wanaweza wakashinda kupitia Europa
Na Europa wanaweza kwenda kupitia FA
Options ziko nyingi
Wapitie huko napo simpaka waweke juhudi. Hakuna bahati bila juhudi
 
Kweli nyie ni kenge maana siyo kwaa kipigo hicho mlichokipata😂😂😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…