Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tulikufa kiume mechi na madrid, big up the bluess
 
Kinyoonge sana wakuu mambo vip? Ebnana dah kutolewa Jana kumeniuma kinoma sana Yani. TT apambane tuibuke hata na FA basi tusitoke Kapa msimu huu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kuchukua fa ni either ukutane na Liverpool au man city [emoji23][emoji23][emoji23]mambo sio rahisi kabisa ....
 
Aah sasa si WAzi hao Makocha WA utd( post mourinho) na arsenal WA kawaida Tu[emoji2] kulinganisha na pep klop Tuchel
 

Chelsea FC sale: US investor Clearlake to own 50% stake if Boehly wins auction​

 
Marina abaki tu kuwa kama negotiator ila kwenye scouting tutafute mtu mwingine,

Wampe tuchel maamuzi ya yupi anamtaka na na nani hamtaki, wakimpa wachezaj anaowataka naamini atakuwa na mafanikio kuliko hata josee kwa pale chelsea,
 
Man utd shida sio kocha, shida inaanzia juu mpk kwa wachezaj
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…