Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
1. CHELSEA 2021/22 TROPHIES.Kukumbushana Muhimu leo ni Wednesday lakini Chelsea are out of Champions [emoji471] league lembu Hziyech22 Cash Money Forever OllaChuga Oc 42774277 huwa mna makelele sana wakati timu hamna imejaa umama umama mnaongoza 3 then mnatolewa?bye bye [emoji112]
Leo tunavuliwa rasmi ubingwa wa Ulaya
Kwani SimTank kazi yake nini?Hawana watu wakufunga hao,mechi ilikuwa ya kwao kabisa
Mwakani tunashughulika na mbele lazima tumuweke mfungaji mwenye akili, hii kuwategemea Pulisic hovyo sana. Katikati tumuweka mrithi wa Kante. Kante kaisha, mkataba utakaofuata ni wa mwaka mmoja akitakaKukumbushana Muhimu leo ni Wednesday lakini Chelsea are out of Champions [emoji471] league lembu Hziyech22 Cash Money Forever OllaChuga Oc 42774277 huwa mna makelele sana wakati timu hamna imejaa umama umama mnaongoza 3 then mnatolewa?bye bye [emoji112]
Wewe huyo hayuka level moja na wewe, huyo anaweza lisha ukoo wako wote maisha yenu yoteKante leo usiku[emoji16]View attachment 2185488
Arsenal wanaona gereEmery yuko vizuri na Villarreal yake wameonyesha kitu cha ajabu
Umri alionao modric anapiga kambumbu barani ulaya ndo umri ambao xavi enzi zake alikuwa ameshatokota mbaya akakimbilia uarabuni kula biriani.Aiseeh yule Modrick anazeeka na utamu wake, ile outer ilivyopigwa huwezi amini kama ingezaa goli.
Narudia tena MODRICK ni fundi bwana😄.
Mwakani tunashughulika na mbele lazima tumuweke mfungaji mwenye akili, hii kuwategemea Pulisic hovyo sana. Katikati tumuweka mrithi wa Kante. Kante kaisha, mkataba utakaofuata ni wa mwaka mmoja akitaka
Kule kwingine Bayern 1 Vila Real 1
Bayern inavyoelekea anatolewa
Kwani KLABU BINGWA wa DUNIA kapatikana mwaka gani ?[emoji28]Ahahaha mmekufa kiume?
Poleni sana,hamtapata kombe lolote mwaka huu
Is a Scandinavian Coach A.K.A transportation bus [emoji38]Liverpool will beat Vill home and away.
Liverpool to UCL final
3 times into 6 years of Klopp’s helm.
What a coach?
We jamaa uko dunia ipi umesahau kuwa mwaka huu tumebeba kombe la club bingwa ya dunia.Ahahaha mmekufa kiume?
Poleni sana,hamtapata kombe lolote mwaka huu
What about Zizou 3 years, 3 UCL titles. What a magician????Liverpool will beat Vill home and away.
Liverpool to UCL final
3 times into 6 years of Klopp’s helm.
What a coach?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah maombi yamejibiwa ila tuonane msimu ujao.View attachment 2185489
Msindwe nyinyi kufika fainali.Chelsea bana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2185500
Kile kikosi kilichoanza jana ndio kinatakiwa kuanza match za sasa hivi.Timu yenu haina wafungaji.msimu mmebakiza kombe moja.