Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwenye mabango wameonyesha 4-3-3 lakini uwanjani wanacheza 3-4-3. RLC anacheza wing back wa kulia
Blaza nisaidie link niweze kutazama game kwenye smartphone yangu. Bando ninalo
 
Tafadhali wazee naomba mnisaidie link ya kutazamia mpira huu wa leo Madrid Vs Chelsea. Nakosa uhondo hapa ndugu zangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…