Umewabetiaje mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjue nime wabetia mbwa nyie naombea mshinde[emoji16][emoji16]View attachment 2178444
Hapna bwana mdgo chaloba ila alonso hapnaUle upande wa Azplicueta bora aingie tu Alonso...
Naona kama hamna msaada hivi.
james hatoi msaada kwa christensen, mason mount ni mtumishi hewaUle upande wa Azplicueta bora aingie tu Alonso...
Naona kama hamna msaada hivi.
Dah kweli leo haonekani....Nadhani pulisic angepumzika
[emoji2]Real Madrid ni wabovu
Mimi naonaga anakuwaga mzuri akiwa middle.Nadhani pulisic angepumzika