Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bids zote huwa zinapokelewa, mchujo ndio utawaondoa. Sababu kuu wana mahusiano na serikali ya Saudia ambayo ina almost 80% ya umiliki wa Newcastle. Hapo ndipo ugumu unaanzia. Na ndio maana wamekazana kusema hawana uhusiano na government
Bids haiwezi kupokewa kama hukubaliki serikali ilibariki ndo maana bids imepokewa
 
The UK government will not play an active role in selecting Chelsea’s next owner, with their sole focus on ensuring no money from a transaction goes directly to Roman Abramovich.

Full story from @alansmith90
 
Bids haiwezi kupokewa kama hukubaliki serikali ilibariki ndo maana bids imepokewa
Kama bid ya Saudi Media itashinda inaweza chukua miezi kadhaa hadi kukabidhiwa timu kwa sababu hiyo chekup itakayofuata hadi wapewe licence itakuwa forensic
 
Hapo sawa
The UK government will not play an active role in selecting Chelsea’s next owner, with their sole focus on ensuring no money from a transaction goes directly to Roman Abramovich.

Full story from @alansmith90
 
Kama bid ya Saudi Media itashinda inaweza chukua miezi kadhaa hadi kukabidhiwa timu kwa sababu hiyo chekup itakayofuata hadi wapewe licence itakuwa forensic
Sidhani ngoja tusubiri maana mi navyojua baada ya hizi bids kukabidhiwa inaanza uchambuzi yupi ni yupi alafu serikali ya uingereza imesema haiingilii kuhusu Nani atakuwa mmiliki alafu wasaudi ni marafiki wa uingereza
 
Sidhani ngoja tusubiri maana mi navyojua baada ya hizi bids kukabidhiwa inaanza uchambuzi yupi ni yupi alafu serikali ya uingereza imesema haiingilii kuhusu Nani atakuwa mmiliki alafu wasaudi ni marafiki wa uingereza
Uk-Saudia wanawaweza kuwa marafiki, ila vyombo vya habar vya uk haviwez tuacha salama incase saudi media group wakiwa wamiliki wapya,

Ujue vyombo vya habar vya uk viko bias sana, kwa sasa tunakomolewa sisi chelsea na si russia or roman
 
Taarifa zinasema sio lazima mwenye bid kubwa ndie atashinda. Machakato wa kujua bid ipi ni nzuri ndio itakayotoa mshindi
 
Saud Media group ni kampuni kubwa ya tafiti na uchapishaji kule Saud Arabia na inamilikiwa na Familia ya kitajiri inayokuwa na wanachama kama 15,000 hivi japo utajiri wote wa wanafamilia umeshikiliwa na kama wanachama 2,000 tu. Hii familia iko na mahusiano ya karibu sana na utawala wa mfalme wa Saud Arabia wa bwana Mohammed bin Salman. Familia hii ina utajiri unaokadiriwa kufikia kiasi cha Paundi Trilioni moja au dola za kimarekani Trilioni moja nukta nne yaani USD 1.4 trilion. Inachapisha machapisho kwenye nchi ambayo uhuru wa vyombo vya habari ni kama hakuna. Hii familia inajulikana kwa kuweka fedha zake kwenye benki yao binafsi

Saudi Media is a group whose chief is Mohammad AL Khereiji who has a great ambition to own a club. Saudi Media’s headquarter is in both Saudi Arabia and Dubai and this group’s focus is on the entire Arab broadcasting industry. And Roman Abramovich is hesitant to sell the Chelsea football club to political affiliations.

Je hili group litaruhusiwa kuinunua Chelsea

Kwa maoni ya mashabiki wengi wa Chelsea (Ofcourse ambao wao hawajali pesa zinatoka wapi ila wanajali mtu ambaye akiiununua timu atawekeza fedha kununua wachezaji watakaoifanya timu ishindanie makombe makubwa na mengi iwezekanavyo)
Hata hivyo mmiliki wa sasa Roman Abramovich alishatangaza kuwa timu haitauzwa kwa mmiliki mwenye mahusiano na serikali ili timu isije ikakumbana na matatizo ambayo inapitia kwa sasa.

Tukumbuke pia kuwa bado muuzaji wa timu ni Abramovich. Mchakato wote wa uuzwaji wa timu itasimamiwa na Roman hadi apatikane mmiliki mpya. Makubaliano walioingia na Serikali ya Uingereza ni kuwa uuzwaji hautamnufaisha yeye moja kwa moja na hadi pale serikali itakapojiridhisha kuwa hayo mauzo hayatamfaidisha yeye ndipo itakapotoa kibali cha uuzwaji kukamilika.

Sasa ugumu wa timu kuuzwa Saud Media Group upo hapo na wachambuzi wengi wa sakata hili la uuzwaji wa Chelsea wanaona upo hapo kwenye wingu lote lililoifunika hii kampuni ya mabilionea wa kisaudia. Share nyingi za hii kampuni zinadhaniwa kumilikiwa na dola la kisaudi na pia mmiliki wa Newcastle anazo share kwenye hiyo kampuni

Ben Jacobs kwenye ukurasa wake wa twitter anaripoti
"STC is State-owned and Newcastle owners PIF still have shares in it despite selling some in December. Probably just a coincidence that another telecoms provider has a link in light of the Three situation."


Bado karata kubwa ya nani atakuwa mmiliki wa Chelsea unaenda kwa Nick Candy pamoja na Boehly na ndio maana wakasema sio lazima mwenye bidi kubwa ndie ashinde ununuzi. Unaweza ukashangaa Nick Candy na Bilioni zake pungufu ya 2.7 akapewa timu japo nasikia naye bidi yake ni ya 2.7 bn

Ili mmiliki mpya wa Chelsea aweze kuwa really mmiliki wa Chelsea kuna hatua kubwa tatu
  1. Lazima kwanza bid yake ishinde na bidi ili ishinde sio lazima iwe kubwa kuliko zingine (kulingana na instruction alizopewa Raine Group)
  2. Lazima pia athibitishwe na serikali ya Uingereza kwamba anazo sifa
  3. Lazima pia athibitishwe na PL kuwa anazo sifa za kuwa mmiliki wa klabu ya mpira ya EPL
Kama vipo vingine, hizo tatu ni hatua za msingi. Kuna uwezekano mmiliki akakwama kwenye hatua mojawapo hapo juu
 
Kwisha kazi. Mnasubiriwa English Conference Lg.
Mmefaidi kupitia hela za fisadi Russia. Malipo hapa hapa Duniani. Kima nyie…
 
Kina Nick wanaelekea kufeliView attachment 2152930
IMG-20220316-WA0032.jpg
View attachment 2152931
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom