Mwambieni anunue assenal nyie hapo si daily mnamkataa kroenkeTatizo ni kiwanda kuungua ila hii timu ilibidi agewe GSM.
NAOMBENI LINK YA MECHI YA CHELSEA MAANA HESGOAL HAIONESHI EPL TANGU IANZE VITA YA UKRAINE NA RUSSIAChelsea we will complete our matches no matter what.
NonsenseHii chelsea,inaweza kumaliza ligi ikiwa nafasi ya 7. players look dejected
Sawa tumekusikia, unalingine la kuongezea!Hii chelsea,inaweza kumaliza ligi ikiwa nafasi ya 7. players look dejected
Injury + RotationSijui kw nini chalobar huwa anapangwa? wakat ni uchochoro moja matata.
Sisi tunanunuliwa na mshua wa spotifyMwambieni anunue assenal nyie hapo si daily mnamkataa kroenke
Sawa mama tumekusikia, unaweza endelea kupika sasaHii chelsea,inaweza kumaliza ligi ikiwa nafasi ya 7. players look dejected
Bado umesemama au wote mnaugulia bao la havertzNasimama na Newcastle View attachment 2149020
Chalobah anafanyaga makosa mengi sana ,na Silva huwa anasahihisha sana makosa ya huyu dogoChaloba bado sana ni dhaifu mno kucheza nyuma, tumependelewa tu inge kua paneti pale alipo shika mchezaji wa Newcastle, tena hata kudefendi kiwango kipo chini kwa timu kama Chelsea.
Kitu cha muhim bado ana nafasi ya kusahihisha n kuimprove,Chalobah anafanyaga makosa mengi sana ,na Silva huwa anasahihisha sana makosa ya huyu dogo
Inakuhusu nini akimaliza nafasi ya Saba?Hii chelsea,inaweza kumaliza ligi ikiwa nafasi ya 7. players look dejected
DG sijui confidence imeshuka...wkt anaanza kucheza game y super cup alikuwa hatariSijui kw nini chalobar huwa anapangwa? wakat ni uchochoro moja matata.