Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,894
Mafuta ya basi mmeshapata kwanza
Nikweli kabisa na mgawanyo wake utakuwa kama ifuatavyo:Nasikia kuna chokochoko zinaansishwa timu yenu inyanganywe makombe yote mliyoyapata chini ya mrusi[emoji205]
Nikweli kabisa na mgawanyo wake utakuwa kama ifuatavyo:
1.Arsenal atapewa kombe moja la Uefa.na moja la ueropa,
2.Manchester city atapewa nayeye kombe1 la Uefa
3.Nyumbu fc atapewa kombe 1 la Uefasupercup.
4.Spurs watapewa kombe moja la ueropa
--------------------------------
Kongolo FC naona sasa hivi mmekuwa wanyonge sana ni mwendo wa bajeti tu 🐒👇Bora hata ulivyomjibu ivii nilikuwa nafikiria nitumie dharau gani kumjibu mtu kama huyu
Ukiwa mwanaume lazima upitie misukosuko kama hiii na inakufanya uwe imara zaidi, pia ukiona Giza limeongezeka sana ujuekuwa karibia kunapambazuka, na ukae ukijua kuwa timu yako haitanufaika nakitu chochote endapo chelseafc itakufa.Kongolo FC naona sasa hivi mmekuwa wanyonge sana ni mwendo wa bajeti tu [emoji205][emoji116]
View attachment 2148687
Acha uduanziWachezaji wamekunywa chai leo?
Ajakuambia hela anayomiliki Roman hiyo ni hela atakayouza team ya Chelsea nazani umemuelewa vibayaTrilioni 7??? Ni za kitanzania au?
Kwasababu Mpaka sasa Duniani hakuna tajiri anayemiliki hata $1 trillioni achilia mbali £1Trillion.
Wapo wanaomiliki hayo ma trillion,sema upatikanaji wake Forbes ndo hawaujuiTrilioni 7??? Ni za kitanzania au?
Kwasababu Mpaka sasa Duniani hakuna tajiri anayemiliki hata $1 trillioni achilia mbali £1Trillion.
Apewe team haraka angalau hii habari inanipa AmaniBilionea wa Kisaudia kuwapa mkataba mpya Rudiger, Christansen na Azpilicueta
Kujenga uwanja wa Darajani na
Kuifanya Chelsea ya Ushindani zaidi
Hapo Vipi?
FYI- Safar zote za Epl ziko booked,Kongolo FC naona sasa hivi mmekuwa wanyonge sana ni mwendo wa bajeti tu [emoji205][emoji116]
View attachment 2148687
Hadi ifikie robo fainali mambo mengi ya license na mauzo ya timu yatakuwa yamebadilika piaFYI- Safar zote za Epl ziko booked,
Game ya lile kila kitu kilikuwa kishalipwa
Mpaka robo fainal ucl kila kitu kitakuwa sawa,
Hata huyu Jamaa wa saudi media ni mshabiki wa chelsea, je kwa hali iliyotokea sasa nahisi itakuwa ngumu kuuzwa kwa hawa jamaa wa saudi media, tho saudi arabia ni marafiki wakubwa wa uk n usa but issue za geopolitics kila kitu kimaweza vurugika wakat wowote huko mbelen tho jamaa wanasema hawahusik na serikalMwokozi wa Liverpool miaka kama 10 iliyopita na mshabiki mkubwa wa Chelsea apambana ili Chelsea inun uliwe kwa haraka iwezekanavyo
Sky News have also reported that Sir Martin Broughton is in talks to spearhead a rescue bid for Chelsea - either alongside Boehly and Wyss or on his own - and is a lifelong fan of the club.
Mashabiki wengi wangependa Nick Candy na Sir Martin Broughton wainunue Chelsea kwa sababu ni mashabiki ndaki ndaki wa Chelsea
Ila wengine wanasema kimtizamo na kimkakati, Todd Boehly ni mizuri kama hao wa mwanzo hawataweza kuinunua timu
Ni uwanja wenu sasa wa kuwa na fake happines na haitakaa muda mrefu, mtarudi kwewnye gheto zenu za kuishi kwa matumainiKongolo FC naona sasa hivi mmekuwa wanyonge sana ni mwendo wa bajeti tu 🐒👇
View attachment 2148687