juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Deadline ya kupeleka ofa imesogezwa mpk tareh 18 March
Hivi wanatumia sheria zipi au ndio zimetungwa jana baada ya putin kuvamia Ukraine. Matajiri wa kiarabu mjianda, walahi wala sisemi uongo. Na matajiri wasiokuwa vibaraka wa mabeberu wa magharibi pia wajiandae na sio kwenye michezo tu hata na uwekezaji mwingineRoman Abramovich has been disqualified from owning Chelsea by Premier League.
Chelsea's billionaire owner will no longer be permitted any involvement in running the club.
- @TeleFootball
Matajiri wa kiarabu ni vibaraka wa western,Hivi wanatumia sheria zipi au ndio zimetungwa jana baada ya putin kuvamia Ukraine. Matajiri wa kiarabu mjianda, walahi wala sisemi uongo. Na matajiri wasiokuwa vibaraka wa mabeberu wa magharibi pia wajiandae na sio kwenye michezo tu hata na uwekezaji mwingine
Usikute unatukana baba yako, kizazi kilicholaaniwa!Acha uduanzi wewe, kwahiyo kama kuna mambo hayapo sawa tusicriticize kisa ametupa makombe, morinho ni moja ya makocha walioipa chelsea heshima ya makombe, lakin alivyozingua alitimuliwa vile vile.
Kukosoa ni moja ya njia kujenga.
Mechi 4 atakosa, probably atarudi baada ya international breakJames karudi timu ikapata meno kule mbele. Tena karudia majeruhi na hajulikani atarudi lini
View attachment 2148075
Acha utotoBreaking newsssssss
Mohammed dewji mo anakaribia kuinunua chelsea
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Yote Kheri. Ninyi mnaotegemea owners mnaizidi nini Chelsea?Ni ngumu sana business yoyote kuingia deal na hii Club, nyie sahivi ni kutegemea ruzuku ya Serikali kama Tasaf.
Pumbafu!!!Breaking newsssssss
Mohammed dewji mo anakaribia kuinunua chelsea
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app