Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Amelala tyrMkuu bado umesimama au?
Amelala tyrMkuu bado umesimama au?
Thanks God.According to Sky news, offer ya bwana Toddy Boehly ya £2.5BN imekataliwa
Timu zinazo huzwa ucheza kwa nguvu sana ili mnunuaji aione inunue sasa.
Kwani wameshafungua hizo bids au mauzo inafanywaje?According to Sky news, offer ya bwana Toddy Boehly ya £2.5BN imekataliwa
wewe kichwa panzi huelewei kitu oote unatafsiriwa na bado unakaza fuvu tu.😂😂😂😂😂Wewe una kichwa yai. Kazi kuranga ranga kwa watu
Ripoti yangu ya mwanzo kama umesoma hadi mwisho nilikuwa na maswali yenye kuleta hiyo hiyo point yako na ndio maana nikakurefer hiyo ripoti yamwanzo. Hujanisoma hadi mwisho, Sorry for thatNafikiri umejichanganya Kiingereza Tu Mzee China wamepanga kutokuonyesha hizi games ili kuwasupport Russia maana kumekuwepo na ripoti kuwa macaptain WA timu za EPL leo watavaa armbands zenye nembo ya bendera ya Ukraine km kuwasapoti waukraine na kutokana na ripoti hyo China wamepanga kutoonyesha mechi hizo...hyo "OVER UKRAINE SUPPORT" ndo imebeba maana halisi
[emoji630] China are set to not broadcast the Premier League this weekend in order to support Vladimir Putin and Russia.
(Source: BBC)
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Yai pa, huna akili hata moja wewe ni mandazi tu. Kuproove wew yai nenda kasome point yangu ya mwanzo nimeripoti vizuri kupitia swali kama aliyeniquote alivyoripoti, Only sikuenda direct na zero brain kama wewe ni ngumu kuelewa kazi kudandia mada tu!!wewe kichwa panzi huelewei kitu oote unatafsiriwa na bado unakaza fuvu tu.😂😂😂😂😂
Mwache akapoteee[emoji117] Dogo Christensen anasepa Barcelona
Mmiliki mpya wa timu ndio yupi huyo?HONGERENI THE BLUES KWA USHINDI
[emoji117] Point 3 muhimu
[emoji117] Mmiliki mpya wa timu amesema kwenye ununuzi wa timu LUKAKU asijumlishiwe.
Chelsea inahitaji kusajili central back mmoja, Central midfield na Right back. Wakusaidiana na James hizo ndio position muhimu zaidi. Sidhani kuna ulazima wowote wakusajili striker ikiwa tuna broja, Lukaku na Kai huku kwenye eneo attack midfielder anaongezeka CallagherJAMES amerudi dimbani ule ubora wa timu kwenye mashambulizi kama mwanzo wa msimu umerudi.
Chilwell akirudi msimu ujao + usajili wa kiungo + sajili mbili kule mbele tutakuwa moto sana.
Mkuu tunahitaj back up ya james n chilwellChelsea inahitaji kusajili central back mmoja, Central midfield na Right back. Wakusaidiana na James hizo ndio position muhimu zaidi. Sidhani kuna ulazima wowote wakusajili striker ikiwa tuna broja, Lukaku na Kai huku kwenye eneo attack midfielder anaongezeka Callagher
Mbona unatuchanganya broo.Mmiliki mpya wa timu ndio yupi huyo?
Jamaa anatuchanganyaMmiliki mpya wa timu ndio yupi huyo?
Broja anarudi kwani?Chelsea inahitaji kusajili central back mmoja, Central midfield na Right back. Wakusaidiana na James hizo ndio position muhimu zaidi. Sidhani kuna ulazima wowote wakusajili striker ikiwa tuna broja, Lukaku na Kai huku kwenye eneo attack midfielder anaongezeka Callagher
Mmiliki?HONGERENI THE BLUES KWA USHINDI
[emoji117] Point 3 muhimu
[emoji117] Mmiliki mpya wa timu amesema kwenye ununuzi wa timu LUKAKU asijumlishiwe.
Huyo mmiliki mpya ndio yupi? Ebu tuambieTunasajili winga 2 kushoto na kulia wa kuvaa viatu vya Hazard. Winga tulizonazo sasa hazina uwezo wa kuamua mechi, uwezo wao ni wa kuingia SUB.
Huyu mmliki mpya anaonekana yuko tayari kusajili mashine za kazi.