lembu tuelezee kamati ya VAR imetumia sheria gani kukata goli alilofungwa na Lukaku
paka sasa sijui ilikua je hiyo goli kukataliwa au FA hawa kutaka Chelsea ichukue ili kombe kwasbb ya Russian kuvamia Ukuraini kama kumpa Abramovich adhabu ya kua karibu na putin......huo naona ni uhuni kama wa ma refa wa bongo.