Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Over
10-11
Hii ilikuwa fainali ya kweli hadi wapigaji wa penalti wote wakaisha
Kepa hakuandaliwa kupiga penalti - hakuwa na confidence ya kupiga penalti
 
Tumecheza vizuri sana ni vile tu we failed kutumia chance zetu vizuri.

Penalt hazina mwenyewe,

Now tufocus kwenye FA Cup n UCL huku tukihakikisha tunamaintain nafas yetu ya 3
 
Huu ujinga wa kuacha kumuamini golikipa aliyedaka dakika 90 na kumuweka golikipa kwa ajili ya penalty sijui nani kauanzisha...?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom