Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Football decisions, such as transfers, player contracts and the future of #Chelsea head coach Thomas Tuchel will be the responsibility of director Marina Granovskaia and technical and performance advisor Petr Cech.

[via @Matt_Law_DT]

Abramovich will remain as Chelsea’s owner and, providing he is not sanctioned, can still invest money into the club, but he has handed the running and decision making to the trustees of the club's charitable foundation, which is headed by Bruce Buck

Other than Buck, the trustees include manager of Chelsea women, Emma Hayes, chief executive of Kick It Out Piara Power, along with Paul Ramos, John Devine and Sir Hugh Robertson

Chelsea insist that Abramovich’s decision to step back has not been made in an attempt to avoid sanctions, but instead to protect the club at a time when it was in danger of suffering reputational and strategic damage

The truth is, Abramovic has relinguished stewardship of the Club. This includes funding the Club. Some English MPs are moving a motion to have his properties in uk confiscated
 
Still He will remain kama mmiliki isipokuwa kwa sasa maswala yote ya shughul za utendaj + utoaji maamuzi za tim ziko chini ya chelsea foundation. Ni kama amejitenga kwa sasa mpk hapo atakapohis hali imekaa sawa maana sio permanent tho kwenye statement yake ajasema kama ni either permanent or temporary kuwa tim itakuwa chini ya chelsea foundation,

Ila kwa sasa shughul zote za klab ziko chini ya chelsea foundation ambayo iliundwa mwaka 2010.

Ni smart move aliyofanya

Naweza relate kama mo alivyofanya simba,
 
Siku ya leo mmiliki wa klabu ya Chelsea bilionea wa Urusi, Roman Abramovich ameikabidhi klabu hiyo mikononi mwa bodi ya wadhamini.

Abramovich amesema:

"Kuanzia leo ninawapa bodi wadhamini wa Chelsea usimamizi na utunzaji wa klabu.

Maamuzi haya yanakuja kufuatia mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine huku Bunge la Uingereza siku ya Alhamisi likimtaka Abramovich kuachana na klabu hiyo.

Abramovich (55) amekuwa Mmiliki wa The Blues tangu 2003.
#sky news
 
Roman yupo smart sana kichwani.

Kiutendaji amekaa pembeni ila anaendelea kuwa mmiliki wa club. Maamuzi watakayofanya wadhamini lazima wamconsult.

Wale wabunge wambea wambea wa England wabaki na maunafiki yao, chuma kimezama kinapiga opetation za chini chini kitaibuka na UEFA - 5, EPL - 3, FA - 2, CARABAO - 2 kabatini

The Blues forever.
Isije tukafanyiwa fitna mechi ya leo especially kwa mwamuzi atakayechezesha
 
Roman yupo smart sana kichwani.

Kiutendaji amekaa pembeni ila anaendelea kuwa mmiliki wa club. Maamuzi watakayofanya wadhamini lazima wamconsult.

Wale wabunge wambea wambea wa England wabaki na maunafiki yao, chuma kimezama kinapiga opetation za chini chini kitaibuka na UEFA - 5, EPL - 3, FA - 2, CARABAO - 2 kabatini

The Blues forever.
Hao watu wana professional bussiness consultants, sio hao wetu wa bongo wakina Mo dowji hahaha wanao shauliwa na wana familia na wapenzi wao
 
Roman yupo smart sana kichwani.

Kiutendaji amekaa pembeni ila anaendelea kuwa mmiliki wa club. Maamuzi watakayofanya wadhamini lazima wamconsult.

Wale wabunge wambea wambea wa England wabaki na maunafiki yao, chuma kimezama kinapiga opetation za chini chini kitaibuka na UEFA - 5, EPL - 3, FA - 2, CARABAO - 2 kabatini

The Blues forever.
Ataendelea kuwa mmiliki ila kisheria hataingilia maamuzi yatakayochukuliwa na Trustees hadi pale atakaporudisha hayo mamlaka ya kiutendaji kwake.

Fuatilia hii statement ya bosi mwenyewe
"I believe that currently they are in the best position to look after the interests of the club, players, staff, and fans."

Taarifa za ndani ya klabu
  • Abramovich is still “the owner” of the club (via the Fordstam Ltd holding company) and can “invest” in it (barring any relevant sanctions)
  • Abramovich no longer controls the “running and decision making” of the club as it pertains to business and operations
  • “Football decisions” are now completely the responsibility of director Marina Granovskaia and technical director advisor Petr Čech
  • Chelsea are NOT for sale (though our “resolve” is expected to be tested)
  • There is no timescale for how long we may stay like this, or what may happen next and when
 
Je unawajua Chelsea Foundation Trustees?
  1. Bruce Buck ndie mwenyekiti wa hiyo trustees na pia ndie mwenyekiti wa Chelsea kwa ujumla
  2. Emma Hayes Manager wa timu ya wanawake
  3. Paul Ramos ndie mkurugenzi wa fedha wa Chelsea
  4. John Devine
  5. Piara Powar
  6. Sir Hugh Robertson
 
Ataendelea kuwa mmiliki ila kisheria hataingilia maamuzi yatakayochukuliwa na Trustees hadi pale atakaporudisha hayo mamlaka ya kiutendaji kwake.

Fuatilia hii statement
"I believe that currently they are in the best position to look after the interests of the club, players, staff, and fans."
Hamna trustee anae weza kufanya maamuzi makubwa bila kumconsult its impossible.......hiyo inaitwa bussiness techinic of avoidance, kwake ku nyamazisha wa baya wa Chelsea kwenye bunge la uingereza
 
Roman yupo smart sana kichwani.

Kiutendaji amekaa pembeni ila anaendelea kuwa mmiliki wa club. Maamuzi watakayofanya wadhamini lazima wamconsult.

Wale wabunge wambea wambea wa England wabaki na maunafiki yao, chuma kimezama kinapiga opetation za chini chini kitaibuka na UEFA - 5, EPL - 3, FA - 2, CARABAO - 2 kabatini

The Blues forever.
Na pia nasikitika kwamba kama shutuma zilizotolewa na mbunge wa Labour Party Ndg. Chris Bryant kwamba bosi anashirikiana na Putin kwenye biashara haramu ni kweli basi serikali inaweza bado kuchukua maamuzi ya kuitaifisha timu. Kwenye document za home affair za 2019 zinamuhusisha Roman Abramovich rasi wa Urusi na pia anashiriki kwenye shughuli za kiufisadi. Hizi ni alegations tu na mpaka sasa serikali haikutoa tamko wala maamuzi juu ya kutaifisha mali za Abramovich na wala Abramovich hayuko kwenye orodha ya matycoon wa kirusi waliotaifishiwa mali zao
 
Hamna trustee anae weza kufanya maamuzi makubwa bila kumconsult its impossible.......hiyo inaitwa bussiness techinic of avoidance, kwake ku nyamazisha wa baya wa Chelsea kwenye bunge la uingereza
Na wewe kweli kweli unaamini watakuwa fooled!! Waingereza. Hata wabongo huwezi kuwafool kihivyo. Roman mwenyewe anajua. Hii case ni sensitive na tusiilinganishe na ushabiki wetu. Waingereza wako inch away kutaifisha mali za Abramovich ikiwemo Chelsea. Maombi yetu iangukie mikononi salama. Uingereza ni rafiki mkubwa wa Ukraine na adui mkubwa wa Urusi, isije kwua walikuwa wanaiosubiri tu hii siku waweze kujustfy utaifishaji wa mali za tycoons wa kirusi ili kuwapunguza nguvu. Vita bado vinaendelea, Urusi wameshaanza vita vya ardhini na wako wanaelekea mji mkuu wa Kyiv. Ukraine inashambuliwa kutokea kila upande. Putin mwenyewe katishia kutumia silaha za neacleaur kwa watakapinga uvamizi wake. Ukijumlisha yote hayo unadhani hasira ya Serikali ya Uingereza inapoa au inaongezeka, unadhani kuwa wanasiasa wataach kuongea au ndi wataishinikiza Serikali kuchukua hatua zaidi. Mimi binafsi simuoni Roman Abramovicha akiokoka kwa hili. Sipendi iwe hivyo ila huu ndio ukweli
 
1645947331404.png
 
Kuna sehemu nimesoma wanasema yule mbunge wa Labour ni shabiki wa Liverpool na anachotaka Liverpool ashinde Karabao leo
Wanadai yule tycoon wa Newcastle msaudi alishirikia kwa asilimia 100 kwenye mashambulzi ya Yemen mamilioni ya watu wakiuawa wakiwemo wanawake na watoto lakini hakutajwa hata kidogo
 
Ataendelea kuwa mmiliki ila kisheria hataingilia maamuzi yatakayochukuliwa na Trustees hadi pale atakaporudisha hayo mamlaka ya kiutendaji kwake.

Fuatilia hii statement ya bosi mwenyewe
"I believe that currently they are in the best position to look after the interests of the club, players, staff, and fans."

Taarifa za ndani ya klabu
  • Abramovich is still “the owner” of the club (via the Fordstam Ltd holding company) and can “invest” in it (barring any relevant sanctions)
  • Abramovich no longer controls the “running and decision making” of the club as it pertains to business and operations
  • “Football decisions” are now completely the responsibility of director Marina Granovskaia and technical director advisor Petr Čech
  • Chelsea are NOT for sale (though our “resolve” is expected to be tested)
  • There is no timescale for how long we may stay like this, or what may happen next and when
Kumbe Peter anamaamuzi makubwa hivyo?
 
Na wewe kweli kweli unaamini watakuwa fooled!! Waingereza. Hata wabongo huwezi kuwafool kihivyo. Roman mwenyewe anajua. Hii case ni sensitive na tusiilinganishe na ushabiki wetu. Waingereza wako inch away kutaifisha mali za Abramovich ikiwemo Chelsea. Maombi yetu iangukie mikononi salama. Uingereza ni rafiki mkubwa wa Ukraine na adui mkubwa wa Urusi, isije kwua walikuwa wanaiosubiri tu hii siku waweze kujustfy utaifishaji wa mali za tycoons wa kirusi ili kuwapunguza nguvu. Vita bado vinaendelea, Urusi wameshaanza vita vya ardhini na wako wanaelekea mji mkuu wa Kyiv. Ukraine inashambuliwa kutokea kila upande. Putin mwenyewe katishia kutumia silaha za neacleaur kwa watakapinga uvamizi wake. Ukijumlisha yote hayo unadhani hasira ya Serikali ya Uingereza inapoa au inaongezeka, unadhani kuwa wanasiasa wataach kuongea au ndi wataishinikiza Serikali kuchukua hatua zaidi. Mimi binafsi simuoni Roman Abramovicha akiokoka kwa hili. Sipendi iwe hivyo ila huu ndio ukweli
Ww ni mpingaji
 
Marina na Peter Cech wajipange kwenye usajili ujao, wasajili mashine za kazi.

Roman ameamua kukaa pembeni kidogo, pesa ya usajili itatoka wapi?

Serikali ya England itamruhusu Roman kufanya transaction za kifedha?

Au sasa ni mwendo wa ile formula ya kuuza mchezaji halafu ndio ununue mchezaji?
Pesa mkuuu kwan la?ima Transaction za pesa lazima zifanyike na account ya Romani tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom