hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,037
Chelsea we win
Wewe kaa pembeni maana ulishatolewa....Mbona hii mechi ni kama gombania goli?Liverpool anacheza yeye pekee?why?
Half time ilibidi tuwe mbele hata kwa goal 2Kukosa nafasi za wazi kama hizi huwa namkumbuka sana HAZARD.
Tungefunga hesabu mapema hi gameKukosa nafasi za wazi kama hizi huwa namkumbuka sana HAZARD.
Goal la pulisic,havertz na mountHalf time ilibidi tuwe mbele hata kwa goal 2
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe kaa pembeni maana ulishatolewa....
Si mlisha msajili lukaku? Kwani Mnamtaka nani tena?Bado nasimamia yale maneno yangu, tunatakiwa tusajili washambuliaji (Wingas & striker) wakatili mbele ya goli, wanaoweza kuamua mechi.
Mount tena kakosa goli lawazi naona wivu sana
Jumla ya magoli manne tunakosa