Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
- ANKOJEI mi ningependa oscar awe sub ila aingie dk ya 55 sio 80 kama beni anavofanya.
- mikel acheze leo atamdhibiti vizur toure
Lengo la Mikel kucheza leo ili kumdhibiti Toure lilishindikana leo. Pale mid field palipwaya sana. Alikuwa akionekana sana Ramires ambaye naye ball possession imempita kushoto
- nyuma wawepo Luiz...Cahill...Cole...Terry
John Terry ama Garry Cahill wakibaki nyuma ku-mark goli mimi huwa na amani sana unlike akibaki David Luiz..na hilo limejionyesha leo. Cahill ametuokoa sana leo. David Luiz nadhani awe encourage kuendelea kucheza mid field kwani hata anapokosea mabeki wanakuwepo kufidia kosa lile.
Napenda Cole anavyopanda mbele na kurudi nyuma in time anajua kucheza sana. Mara nyingi akiwepo left wing opponents hutumia right wing ama centre kuelekeza mashambulizi. Ni vigumu kumpita.
- baadaye atoke Luiz aingie Ivanovic.
Nilijua kwa tempo ya game ya leo Luiz asingeweza kumudu muda wote. Plus anyway I expected tungefunga mapema. That way Cole na Ivanovic wangekuwa wanapanda both wings kuendeleza mashambulizi.
- kati mikel na ramires
Mikel nimeshamuongelea. And by the way this guy has good posession ila amekosa speed na quick decision making. vinginevyo, he is a very good central mid fielder.
Ramires kama kawaida yake speed imemsaidia. Ila huyu mmakonde wetu bana mchoyo sana. Na leo amekutana na watu wanaomatch his speed ndio maana ameishia kutoka jasho tu.
- mbele hazard..mata..victor
Hazard anacheza vizuri sana on the sides and so does Victor. Wana speed na nguvu na akili. Unlike Ramires, Victor ana possession, so hata akipiga chenga probability ya kunyang'anywa ni kidogo. Hawa madogo wawili najua wangesaidia sana kumlisha Ba na Mata ambaye angekuwa anatupa mashambulizi kutokea kati.
Victor naye angepumzishwa na kuingia Oscar dk.55 basi ushindi ungekuwa wetu
- sub apa atoke victor aingie oscar
Kuongeza nguvu na surprise element coz both Oscar na Victor ni madogo nnaowakubali na wakiendelezwa vizuri they are going to be a threat to reckon in the very near future.
- afu kutegemea na ushindi tutaupata dk zipi atoke hazard aingie azpilicueta ama bertrand
Leo Hazard bado alionekana ana nguvu hata muda ule alipotolewa Ila kama tungekuwa tumeshinda ingekuwa sawa angetoka the Ryan Bertrand ama Cesar Azpilicueta aingie kucheza both defence and support in attack.
- demba ba amalizie
Tatizo la strikers chelsea limeshaongelewa sana. Hawawi fed na mipira well enough kuweza kutumika ipasavyo. Chelsea inacheza kama Spanish game where every player can score but the problem ni wengi hawana ile goal oriented playing.
Ingekuwa afadhali tuchague moja;
- Kama tunacheza Spanish game basi tupunguze chenga tucheze mpira wa pasi zaidi (hapa nalia sana na Ramires!!!).
- Kama tunataka kutumia strikers basi tuimarishe midfield na uchezaji wao. Ila bado mchezo wa pasi ni mzuri forwards wetu wamezidi chenga halafu bado hawataki kufunga...wanaboa sana.
Na game litakua letu.
- Passes
- Goal orientation.
Kama conclusion hivyo vitu viwili ndivyo vinatupoteza. benitez anapanga kikosi bila kuangalia uchezaji wa watu anaowaweka uwanjani.
Lakini zaidi kama timu (kwa mfano leo) sijui walikuwa wanataka kufanyaje koz they had the ball right before the goal lakini bado wanapiga chenga..hili ni tatizo sana!!!
Otherwise, it is my hope that Westham wins tomorrow at least. But nasikia yule kocha wa Borrusia Dortmund ndo anakuja msimu ujao. Ngoja nianze kumfuatilia nijue how he is.