Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tulikuwa tunashinda game, lakini ndo hivyo tena. Marefa wanamwogopa babu Fergi, siku akistaafu imekula kwa Manure. Babu kukaa kwenye bench pekee ni kama point 10 mpaka 15 kwa msimu wanapewa za bure.

Vp, unazungumziaje Penalt ya leo? Siku ikila kwako kaa kimya kuna siku na wewe utapata manufaa kwa uamuzi mbovu wa refa. Ila tatizo lenu huwa mnatumia vibaya mnapopata nafasi kama hizi ndo mana mtabakia kulalamika tu siku zote
 
fracrop_2905652.jpg

hartcrop_2905655.jpg
 
Hakuna haja ya kuwapa pole mmeshayazoea haya matokeo
 
Mi siwezi kuongea sana but kufungwa Chelsea sio habari kubwaaa kama inapofungwa Arsenal,kila mtu hubwabwaja lake!
 
Another humiliation to Benitez

Ooops visingizio kede kede khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

We got what we deserve, a whooping!

Jamani mwambieni Pimbi kutoka Kibera arudi ... ... .. khe khe khe kheeeeeeeeeee... ... . alikuwa kaweka kambi Gunners chacha tokomea kwenye slums khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Inashangaza sana siku Arsenal inacheza kuona Peasant,Mentor na wengine wako jukwaa la Arsenal wakimwaga ushuzi wao...

Lakini timu yao inapocheza wanaingia mitini...Mnashangaza sana....Angalau Home Boy Masanilo yeye ana ujasiri wa kutoa pole kwa wenzake....Kama ilivyo kwa Invisible, Ab Tichaz, Rev Kishoka na Maxence Melo...
 
taratibu jirani, nipo nimejaa tele hapa Darajani. Hongera kwa ushindi wa jana, at least umepumua sasa.
 
Kaka nilikuwa mbali na simu...btw soon nakuja na analysis yangu.
 
taratibu jirani, nipo nimejaa tele hapa Darajani. Hongera kwa ushindi wa jana, at least umepumua sasa.
Asante jirani....Pole kwa kipigo...

Sijui kwa nini Roman alimuajiri Rafa ambaye ni failure....

Kwangu mimi Rafa = Arsene = Failures
 
Wikiendi hii safi sana kwangu, kwa kweli imekuwa tamu

1. Yanga kawakunguta wale makuli wa juice za Mwarabu jana

2. Arsenal wamembandua Aston Vila na kusogea karibu na wanaotushikia nafasi yetu kwenye ligi

3. Mama mkwe kavunjiwa muwa makalioni kama mazoezi ya kukalia LIBOLO tena

4. Kenge wa darajani wamekiona cha mtema firewoods na mdomo umekwisha

5. Everton naye jana kapakatwa

Imebakia kesho tu West Ham wafanye kazi ya maana kumbandua Tottenham
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom