Doh aisee!
Kaza buti jirani, i hate man u!
Hello The Bluezzz!.. Nawasalimu tu!!
salama lakini? leo bahati imekuponya, ungepigwa 6 ndani old trashford.
Hello The Bluezzz!.. Nawasalimu tu!!
Mkulima duni, umefufuka? Naona ulikimbia jukwaa kabisa!!
Mpira bado, timu zote bado zina nafasi ya kukutana na Man Shitty pale OT.
Ingawa itakuwa poa sana kama tukikukuta na Shitty.
We are coming to bombard the Bridge.
salama lakini? leo bahati imekuponya, ungepigwa 6 ndani old trashford.